Most Wanted Programmers

Hi
Hivi wakuu tunelewa kua most wanted programmer katika dunia hii ni wa language gani?
Swali lako ni zuri lakini ni gumu kwasababu kila ugha ina uzuri wake na ubaya wake. kwa hiyo ingebidi ulivunje swali lako katika vipande vipande mfano; lugha gani ni nzuri katika desktop application, mobile application, system management, data migration, web programing, vector processing n.k


Do you know about Turing computability my friend? If so then you know theoretically any program can be coded by any language but is it convenient to use this language over that? What do you mean by most wanted? Are you talking about most powerful or popular?

PHP the most popular web programming language was written in C but does that make C the most demanded language in the web market?

So like I said earlier this is a good question but you need to break it down into pieces so we can have a constructive argument.
 
Hey programmers stop talking about history and stories of programs . Just let coding. do the talking

In language of you choice write a simple calcluator program. Interface langauge should be in swahili .

This is just an Idea.
Check my own software at Hermitscorp Laboratory i wrote it with pure C++ and Qt as UI framework.
 
Thanks for idea!--What i mean is which one is needed by today most employers?--From my view, i know that C/C++ is most powerful but troublesome programming language, but nowadays there are a lot of simplified language for special target like VB.NET and Java.

Walio wengi wadhani C++ ni complex na haina mabo kama unayoweza kuyaona katika C# (the power to deal pixel-wise with image) ila ukweli ni kwamba originally C++ inakua inafanya simple tasks, but it allow you to include any kind of library you need(mfano Qt by Nokia ni libraries ambazo zinaipa C++ Ultimate Multimedia, networking, DBMS and widget creation capability)--Pia kwa sula la kudevelop cross-platfrom software mbona C++ ndio wenyewe--Siipigii debe ila nasema lile nililoliona.

Happy coding
 
Wakuu... Natumaini mu wazima wa afya.

mimi ningependa kuanza kujifunza programming, tatizo ni sijui pa kuanzia (Kama Language ya kuanza nayo, software zinaohitajika... n.k). Yaani i am a total beginner; Only determination is what i have.

Tafadhalini naombeni ushauri na tips.

Ahsanteni.
 

Kama una connection ya maana kidogo ningekushauri Java maana kuna hii course video ya Stanford ipo online anafundisha Java kuanzia mwanzo.
Computer Science I: Programming Methodology | Stanford Video Course

Download Java JRE install, Java JDK install.
Download Eclipse Install
Fuata cozi ya video.
Java SE Downloads

Eclipse IDE for Java Developers | Eclipse Packages

Otherwise Jaribu VB.Net au C#.Net na Visual Studio inaweza ikawa more interesting kwa jinsi unavyoijenga program visually maana Java utaanza na program za command line.
Visual Studio Express ni bure kutoka Microsoft na probably ndo the best IDE right now.

Microsoft Visual Studio Express - Build cutting edge Windows applications
Visual Basic Developer Center
 

check hii link Three things C# only developers might not know | TechRepublic
 
ila inategemea nchi na nchi... Kama huku nilipo, 2naweza kukumaind kwa kuiacha PHP! :-D
Mkuu hivi nitapata wapi webhost wanaohost php website for free ili niweze kuichukulia mazoezi maana nikiisave page ya index.php kwenye notepad haitoi majibu mazuri
 
Mkuu hivi nitapata wapi webhost wanaohost php website for free ili niweze kuichukulia mazoezi maana nikiisave page ya index.php kwenye notepad haitoi majibu mazuri
Download hii local server kwa kutesti php page zako zote: EasyPHP - WAMP Server : Install PHP 5, Apache 2, MySQL 5 and PhpMyAdmin on Windows XP/Vista/Seven
na kwa online server ya kuhost complete free and php based website kama ya kwangu nenda Free Web Hosting, Free Templates, Free Tutorials and More - Zymic
 
Mkuu ,"soma utunukiwe!", ungana na mimi kusoma c++ with Qt upate mavitu kemkem toka kwa NOKIA, INTEL NA 4TIITOO---unaposoma language hii-ukianza kuandika program zako na wakazikubali-wanakupa "Ambassador Status" (check me bellow") the kuna challenge kibao ambazo utafanya na kupata zawadi kama vile USD300., New MeeGo Tablet ,New Nokia Phones and others--Mimi hapa nilipo nimeshawahi kupata NOKIA C7-00 mpya na saivi nipo katika challenge yao start 23th may.
Link: Qt - Cross-platform application and UI framework — Qt - A cross-platform application and UI framework

Code with Fun!!!
 

Ahsante mkuu... ngoja nianze kuvishusha na mimi.
 
Mkuu nashukuru sana kw information uliyonipa...

sa hivi napata lectures from stanford!!! nimeamua kuanza na java... then nitahamia kwa C#..
If you come across any programming tips please let me know..

Thanks sana and stay blessed.
 
Mkuu nashukuru sana kw information uliyonipa...

sa hivi napata lectures from stanford!!! nimeamua kuanza na java... then nitahamia kwa C#..
If you come across any programming tips please let me know..

Thanks sana and stay blessed.

Chagua lugha moja uisome uielewe, habari naanza na java alafu c# utaishia kugusagusa kila lugha. Mimi ni expert katika Java nimefanya kazi Tz na USA na huo ndio ushauri wangu kwako.

http://www.tiobe.com/index.php/content/paperinfo/tpci/index.html
 
Mkuu hivi nitapata wapi webhost wanaohost php website for free ili niweze kuichukulia mazoezi maana nikiisave page ya index.php kwenye notepad haitoi majibu mazuri
kama upo serious I can direct you uakapata web hosting kwa 60,000/= hapo unapata unlimited disk space, uitumie upendavyo wewe
 
kama upo serious I can direct you uakapata web hosting kwa 60,000/= hapo unapata unlimited disk space, uitumie upendavyo wewe

Yeye anataka kujifunza tuu kwahiyo hahitaji paid hosting, mazd amempa ushauri mzuri sana wa kutumia WAMP server locally japo mimi hupendelea zaidi kutumia XAMPP kutoka apache friends.
 
Mkuu hivi nitapata wapi webhost wanaohost php website for free ili niweze kuichukulia mazoezi maana nikiisave page ya index.php kwenye notepad haitoi majibu mazuri

Host za bure zip nyingi tu na mm toka mwaka huu unze nimejufnza kwenye Webhost za bure.

Mfano hiii webblog yangu ya kujifunzia teknohama-Bongo - nimetengeneza kwenye site ya bure silipi hata shilingi. Nimetengeza kwa kuchakachua template ya Wordpress.

So webhost wa bure wapo wengi some of them ni

Hizo zote nifree zina support php ,Mysql ,ftp, zina Cpanel

K una tofauti kubwa kujifunza kwenye local mashine kwa kuinstall XAMP au WAMP na kuwa na online web host. They are two different experinces. bteer try them both
 
Kwa vile mimi natumia ZYMIC ni tataja habari zake kidogo:


  1. huna haja ya kutumia template zao, ambazo watakuwekea mabango yao-mfano hawa: Create a free website with 350pages website builder (my first web host providers)
  2. supoort php5, mysql (3 free database)-mimi moja natumia kwa forum, moja nitatumia kwa my chating mobile app na moja hakiba-sina haja ya 4 wala 5 kwa sasa
  3. support re-directing (unaweza kutumia address tafauti kwa account moja), mfano: web yangu unaweza kuipata kwa Hermitscorp Laboratory, ukiachana na ile iliopo hapo chini.
  4. free 6000MB-mimi nimetumia MB54 hadi sasa!
  5. online 24hours.
  6. unaweza kuweka web site hata 100 kwenye account moja.
  7. na mengine kadha wa kadha.
 
Who has mastered c or c# in deep kama si kudanganyana simnajua kuandika vi programs vi kuombea maji na za kuharibu matokeo ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…