language yoyote ipo njema cha muhimu uwe umeimaster in deep, Naona sasa C# inakuja kwa kasi ya ajabu sana na pia maprogrammer wengi ambao nimewaona na ninaokutana nao nje ya tz kutoka developed countries wanashift from java, vb kwa kasi ya ajabu kujiunga na C#. mimi nimefanya language nyingi lkn nilipoifanya C# niliipenda sana coz ipo stable and most powerful and best for image processing i.e 200 times better than VB. Pia visual web developer imesimama sana upande wa database
ebu toa shule mkuu
Interested to know
- nini au ni kivipi C sharp iko better kwenye image processing kuliko zingine?
- Je ina maana software auprogram kama Photoshop au gimp zimeandikwa kwa C#?
By April 5, 2011, Nokia ceased to open source any portion of the Symbian software and reduced its collaboration to a small group of pre-selected partners in Japan.
In 2009-2010, Motorola, Samsung, LG, and Sony Ericsson announced their withdrawal from the platform, leaving only Nokia and several small Japanese-only vendors.
By the end of 2010, Samsung will totally leave Symbian including the support and service and also remove all content relating to Symbian from its website, whereas Sony Ericsson will not introduce new mobile phone with Symbian.
Thanks for great idea!!--Do you think migration of NOKIA from Symbian(C++) to WP (Silverlight) will effect, vizee vyetu ambavyo hajazoea simu kua katika mtindo kama wa PC?Java haijapoteza soko, ndo the most in demand programming language kwa kuangalia stats za site za kazi, Enterprise application nyingi sana zimeandikwa kwenye Java, sema haiko popular sana kwenye desktop ndo maana hauioni labda, na web apps bado ni programming so haimater kama ni web au desktop.
Plus mobile platform inayokua kwa kasi zaidi Android ni Java.
Nokia wanaown Symbian sio Open Source tangu April na ndio driving force behind Symbian, wakiitosa wao ndo basi.
Symbian itaendelea kuexist lakini ni kwa sababu ya transition period, hauwezi kuitupa OS overnight. Smartphone zijazo za Nokia ni Windows Phone kwenda mbele.
Nitakukubali na mawazo hayo iwapo utasema kama mtu anataka kujiajiri mwenyewe--pengine wewe unaipata java kinoma lakini iliopo katika market kwa sasa na waajiri wanayoitaka ni C# -hapo mkuu utaishia kukodi bila manufaa.Nilazima uende na wakati mkuu--Mfano kwa sasa hatakama unaijua QBASIC (Microsoft first Basic Prog. lang.) juu chini,basi huna dili.nyi hangaikeni tu, what matters is how you can use a particular language to develop a program that is impressive and marketable, how good you are in that language is a key concept of what makes a developer most wanted
Sina uzoefu wa C# ila nilivyosikia ni kua it's for Microsfot OS's only--i mean your develop with C++ style and VB simplicity for MS OS only.
@ Narubongo
1.Kumbuka kua adobe photoshop amabayo ni program ilioandikwa kwa C++ ni world leading Image processing Program.
2.Maya 3D amabayo iko na hiyo feature ya kutrak motion za pixel (Video motion Tracking ) pia imeandikwa kwa C++ na UI ya ni kwa Nokia Qt(Qt - Cross-platform application and UI framework — Qt - A cross-platform application and UI framework)
3.C# yenyewe imetengenezwa kwa VC++.(Modified C++ by Miscrosoft).
Ila tujiulize ipi iko na soko saivi?--na walasio 2yrs ago.
Nitakukubali na mawazo hayo iwapo utasema kama mtu anataka kujiajiri mwenyewe--pengine wewe unaipata java kinoma lakini iliopo katika market kwa sasa na waajiri wanayoitaka ni C# -hapo mkuu utaishia kukodi bila manufaa.Nilazima uende na wakati mkuu--Mfano kwa sasa hatakama unaijua QBASIC (Microsoft first Basic Prog. lang.) juu chini,basi huna dili.
c++ ni object oriented programming language ndio kwa maana ndio basis ya development enviroments nyingi.Hata hivo programming is not about language anymore its more about choice of programming platform that will satisfy project requirement and enhance programmer productivity. Mfano suppose unadevelop app that requre cross platform capablity then huna budi kutumia net framework etc or imagine doing game programming in BASIC au native c++ almost mission impossible.However using Opengl au ms directx task becomes manageable.Binafsi i prefer C# to C++ .Both are OOP but C# has richer library that really simplify lots of mundane tasks eg parsing.Hi
Hivi wakuu tunelewa kua most wanted programmer katika dunia hii ni wa language gani?--ingawa nchi yetu ipo chini katika field hii but me as a freelancer, lazima nielewe hili, kama wewe pia ni kama mimi so let us ourselves.
Kimtazamo wangu nimegundua C/C++ ni most wanted coz
1.All powerful program was created with C/C++ mfano MS OFFICE, ADOBE PHOTOSHO, AUTOCAD, MAYA , JAVA PROGRAMMING LANG E.T.C
2.Most mobile software industries like symbian and Maemo (Linux OS founders) use C/C++
3.Linux Kernel was written in C.
Do you have any more idea?
Hey programmers stop talking about history and stories of programs . Just let coding. do the talking
In language of you choice write a simple calcluator program. Interface langauge should be in swahili .
This is just an Idea.
Trivial ,why reinvent the wheel.Simply download working calculator code, open source of course /change labels to swahili,recompile and you done.