Kuna baadhi ya airport zipo karibu na maji hivohivo kama uonavyo kwenye picha lkn inakuwa bahari halafu lami hakuna ufukwe kama hivo...photoshop
Very nice aisee
photoshop
Ingekuwa umesafiri na ndege kwenye nchi za visiwa kama Cape Verde, Sao Tome na Principe au mojawapo ya visiwa vya Caribbean usingetoa comment general na ya kipuuzi namna hiyo. Tafuta kwenye youtube, 'World's most dangerous airports' uone hizo picha hapo juuphotoshop
wenzetu wemeshazoea wanaona kama wanapishana na daladala la mbagala- kariakoo
wenzetu wemeshazoea wanaona kama wanapishana na daladala la mbagala- kariakoo
na wao wakija kwetu wanashangaa kwenye daladala zinavyopishana
photoshop
photoshop
kwahiyo jamaa yangu unataka kusema hizo picha zote hapo juu hazionyeshi majina ya hizo airport..???Sijui nimetembeatembea sijawahi ona hiyo kitu labda tupewe jina la hiyo airport jamani. Pale Entebe ni karibu na ziwa Victoria lakini si kihivyo jamaaa, Miami si kihivyo jamaaa, jeju International airport si kihivyo jamaa