Na Dada yetu Vicky kamata uzuri ulishaisha ama hawa ni young beautiful MP's?Wafuatao ni wabunge warembo zaidi katika lililokuwa bunge la 2015-2020 lililovunjwa mwezi huu June 16
1. Upendo Peneza
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA akiwakilisha mkoa wa Geita
View attachment 1484495
2. Halima Bulembo
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CCM.
View attachment 1484498
3. Bonnah Kalua
Huyu alikuwa mbunge wa jimbo la segerea kwa tiketi ya CCM.
View attachment 1484496
4. Ester Matiko
Huyu alikuwa mbunge wa Tarime mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
View attachment 1484497
5. Catherine Ruge
Huyu ni mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA.
View attachment 1484499
Mimi kwa upande wangu nimeona hao tu, ruksa kuongezea katika orodha. Je, wewe kwa upande wako unaona ni mbunge gani mwingine alikuwa mrembo zaidi katika bunge la Ndugai la 2015-2020.
Ukipitia na kumbukumbu zake akiwa Maisha Plus zinadhihirisha hiloHapo Upendo Peneza anawazidi wote.
Umemtendea haki kuwa No.1
Niliwahi kumuona kabla hajawa Mbunge ni Mzuri mno mno.. halafu ni wale wa Dada wasiopaka Mavitu usoni.. hata Wanja, lipstick hapaki.. yupo Natural sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ana mume?Hiyo orodha Kama hayupo Esther Bulaya ni orodha feki na unapaswa kufungulia kesi ya uhujumu uchumi.
Esther Bulaya koKote uliko jua Kuna raia wako anakupenda.View attachment 1484479
Kabisa..Kabla ya Maisha Plus.. Nilimjua akiwa YUNA. Na anajua kupangilia speech zake mno.Ukipitia na kumbukumbu zake akiwa Maisha Plus zinadhihirisha hilo
Kumbe unamfahamu muda mrefu, she is beautifulKabisa..Kabla ya Maisha Plus.. Nilimjua akiwa YUNA. Na anajua kupangilia speech zake mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaeh!!! Beautiful Indeed..Kumbe unamfahamu muda mrefu, she is beautiful
Dahh!!Hapo Upendo Peneza anawazidi wote.
Umemtendea haki kuwa No.1
Niliwahi kumuona kabla hajawa Mbunge ni Mzuri mno mno.. halafu ni wale wa Dada wasiopaka Mavitu usoni.. hata Wanja, lipstick hapaki.. yupo Natural sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti Yupi Data?Dahh!!
So inawezekana kweli mwenyekiti huenda kafaidi sana eehh!!!?
[emoji39][emoji41][emoji39][emoji41][emoji39]
😂😂😂😂😂Mwenyekiti Yupi Data?
Hizi habari sina hata.. Nadhani zilinipita..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha tuchat tu!!!
Beauty is in the eye of the beholder. Wewe ukimuona Zuhura kuwa mzuri, mwingine atasema Rehema ndiye hasa. Zaidi ya hayo, uzuri wa mgombea ubunge siyo mojawapo ya sifa za kuukwaa ubunge. Tutakuwa tumepotea njia sana kama mwezi Oktoba tutawapigia wagombea kufuatana na uzuri wa sura zao. Huenda hao wazuri wakawa mambumbumbu kupindukia. Kwenye mashindano ya Miss World, n.k. ni sawa kuangalia uzuri wa unayemchagua. Mwaka 1985 Mwalimu alilikaripia sana suala hili alipopata fununu kuna watu wanaozungumzia uzuri wa mmoja wa wagombea Urais. Mwalimu akaishia kusema kama mnamuona mzuri mchukueni mkanywe naye chai. Hapa tunajadili mambo mazito ya kitaifa.Wafuatao ni wabunge warembo zaidi katika lililokuwa bunge la 2015-2020 lililovunjwa mwezi huu June 16
1. Upendo Peneza
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA akiwakilisha mkoa wa Geita
View attachment 1484495
2. Halima Bulembo
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CCM.
View attachment 1484498
3. Bonnah Kalua
Huyu alikuwa mbunge wa jimbo la segerea kwa tiketi ya CCM.
View attachment 1484496
4. Ester Matiko
Huyu alikuwa mbunge wa Tarime mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
View attachment 1484497
5. Catherine Ruge
Huyu ni mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA.
View attachment 1484499
Mimi kwa upande wangu nimeona hao tu, ruksa kuongezea katika orodha. Je, wewe kwa upande wako unaona ni mbunge gani mwingine alikuwa mrembo zaidi katika bunge la Ndugai la 2015-2020.
Dah kumbe ndo maana mzee Bulembo ana mmind zitto kumbe binti yake ndo mzuri hivi?2. Halima Bulembo
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CCM.
Hata kabudi ni viti maalumu[emoji16][emoji16]Unaamaanisha viti maalumu ndo warembo wengi wanapatikana!? Why?
Chakula ya mbunge anawaongoza wasio...naIvi huyu alienda bungeni kufanya nn, mbona sijawahi kumsikia hata siku moja akichangia hoja
Wewe ni ladies n gentlemanHapana, mimi ni Mwanaume, wewe je, ni Mwanamke au Mwanaume?
Hivi ana mume?
Nani mama ako au?Yule wa mbowe ndo yupi hapo?!