Strong mind discuss issuesAccording to which statistics?
Hiyo namba moja imebebwa kwenye hili shindano!! Ondoa haponsi kwake!! Nadhan haistahili hata kuwepo kwenye hii list!!1. JPM
2. JKN
3. BWM
4. AHM
5. JMK
Simple minds discuss people.....
According to which statistics?
BakwataHizi statistics ni za kanisa gani? Katoliki, Sabato, Lutheri, Anglicana au Gwajima?
Wapange kwa awamu. Ina maana kubwa.1. JPM
2. JKN
3. BWM
4. AHM
5. JMK
Haya kajipate mafuta ya mdudu usafishe nyotaHizi statistics ni za kanisa gani? Katoliki, Sabato, Lutheri, Anglicana au Gwajima?
Are you mentally ok?