Mpaka leo unaenda mwaka hawajui mateka wao walipoπNikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Humu tunajadili hoja zenye mantiki mkuu.Duh hadi wewe umekubali kabaki Webabu peke yake
Doooh!!walimwekea chips katika laptop yake bila kujua iliyokuwa inamuonesha kila ali[po. ndo maana kumuua ilikuwa raisi kama kuoko goli la mkono!
Kwan wangapi jana wameaga dunia kwa lile bomu? Maana media zote zimekalia nassra tu wengine hawatajwiWana traitor ndani ya kundi, tena sio mmoja, na shughuli ya kutafuta mchawi it's not easy.
Kama Mossad wana intel za movement ya Nasrallah na makamanda wale wote wa Hezbollah, si la kushangaza wakawa wanafahamu silaha zao zilipo.
Tatizo kila wakijipanga wanashindwa sababu mosad wanatumia wameajili waarabu wengi sana wanaowafanyia kazi za kutoa taarifa katika shirika lao.Kabisa mkuu, wajipange.
Lakini naona waliomuuza Nasrallah ni Lebanese wenyewe haswa upande wa serikali ya Lebanon.
Kuna watu wametumika ku track movement za Nasrallah.
"By way of deception you shall engage in war." Mossad mottoNikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Haka kamchezo ka kugonga kwenye kichwa ni kapya, Israel hajawahi tumia kabla.Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Mimi vichembe chembe vya machozi vimenitoka.Mie imeniumiza kuliko kawaida.
Imenifanya nipoe sana.
Nadhani nitakugeza mkuu.Mimi vichembe chembe vya machozi vimenitoka.
Nafikiri hata Jf sitoingia kwa muda na kashfa za watu wengineo juu yake nitaumia zaidi.
Imeniuma sana yaani!
Bado nina imani na Mugawama, Nasrullah ndie alieifanya Hisbullah ipigane kwa kusitasita, alijizuia kuingia vitani na Israel, hivi sasa ndio Vita inaanza rasmi.Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
π€£π€£π€£ lini bana israel alipigwa na hizbula?Mungu kumbe anabariki mashoga!??
Hiyo ni vita kijana usiingize udini.
*2006 Israel alipigwa na huyu huyu Hizbollah akiongozwa na huyu huyu Hassan Nasrallah aliyeuawa.
*1973 Israel ilipigwa na Egypt Sinai Peninsula.Huyo Mungu wako mbariki wa mashoga alikua wapi??
*Hii ni vita kuwahiana ni jambo la lazima.
vipi kwan iran hawana hela ya kununua agent wanayemtaka ndani ya israel?πKabisa mkuu, Israel wana pesa, wana misaada ya kila aina kutoka US na EU wanaweza kununua agent wanayemtaka...
Kasome Israel -Lebanese war 2006.π€£π€£π€£ lini bana israel alipigwa na hizbula?
Hawana lolote hao kule Lebanon wako mashoga wa kikristo hao ni pesa tu si ajabu wako waislam majina pia kwenye cabinet ya Hezbullah wamepewa 50 million waka toa siri, ndio mana kafanikiwa. Tofouti na kule Gaza kule wako wanafiki lakini nje ya Hamas.Wacha tuone ni nini kitafuata.
Kwasasa sina cha kusema ni kusubiri muda uamue.
Japo nikiri kuwa Mossad kwa awamu hii ameupiga mwingi ninyooshe mikono kwa sasaππππππ.
Wacha tuone nini kifuatacho.
Leo watu wa motoni mmefurahi kweli kweli π Nyie kuiona pepo na bado mpo nje ya Uislam ni ndoto mtaikuta kaburini.
Waarabu na Iran hawana hela nyingi za kununulia information?Israel wanatumia hrla nyingi kununua information, na Amerika wanaipa israel kila kitu, israel ndio marekani!
lebanoni ilivunjwa vunjwa hadi leo imebaki na deni kubwa sanaKasome Israel -Lebanese war 2006.
Au Operation Bint Jubeir.
Israel alichapika pale Bint Jubeir.