Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,693
- 18,600
Wenzetu MO award yao itafanyika lini ?
Wamgawie hata Boga moja mfungaji bora wao Makambo.
Wamgawie hata Boga moja mfungaji bora wao Makambo.
kwa kukusaidia tu..
-Exported (to)
-Imported (from)
hapo ungesema imported from Qatar
Wacha weeeee. Mkuu hukubali kushindwa? Ulikimbia jukwaa kwa aibu,baada ya mdau mmoja kukupa msaada umerudiWe unajua mm niko wap?