David Harvey JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 3,784 Reaction score 9,297 Jul 16, 2016 #21 samsun said: Usijari mkuu,mimi kwangu ni Nangulukulu road kabisa basi zinazoenda Lindi na Mtwara sisi ndio tunawauzia chakula hapa. Click to expand... poa mkuu nitakuja kutembea na uko nile samaki nchanga
samsun said: Usijari mkuu,mimi kwangu ni Nangulukulu road kabisa basi zinazoenda Lindi na Mtwara sisi ndio tunawauzia chakula hapa. Click to expand... poa mkuu nitakuja kutembea na uko nile samaki nchanga
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,971 Jul 16, 2016 #22 Hii ni wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi,kwa hiyo kutoka hapa kwenda huko ni afadhari uende Dar karibu kuliko kwenda huko ni mbali sana. David Harvey said: poa mkuu nitakuja kutembea na uko nile samaki nchanga Click to expand...
Hii ni wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi,kwa hiyo kutoka hapa kwenda huko ni afadhari uende Dar karibu kuliko kwenda huko ni mbali sana. David Harvey said: poa mkuu nitakuja kutembea na uko nile samaki nchanga Click to expand...
David Harvey JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 3,784 Reaction score 9,297 Jul 16, 2016 #23 samsun said: Hii ni wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi,kwa hiyo kutoka hapa kwenda huko ni afadhari uende Dar karibu kuliko kwenda huko ni mbali sana. Click to expand... kilwa kivinje,kilwa kipatimo,kilwa masoko niitakuja kutembelea miji ya kihistoria
samsun said: Hii ni wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi,kwa hiyo kutoka hapa kwenda huko ni afadhari uende Dar karibu kuliko kwenda huko ni mbali sana. Click to expand... kilwa kivinje,kilwa kipatimo,kilwa masoko niitakuja kutembelea miji ya kihistoria
sunola JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 2,781 Reaction score 1,741 Jul 22, 2016 #24 Mbona mapicha ya mandari mmeyasitisha tena?
mwibagi2015 Member Joined Jul 29, 2015 Posts 98 Reaction score 42 Jul 22, 2016 #25 Ngoja nchi jirani wapaone utasikia tangazo zuri huko majuu " Karibu Kenya ujionee maporomoko mazuri ya Uru"
Ngoja nchi jirani wapaone utasikia tangazo zuri huko majuu " Karibu Kenya ujionee maporomoko mazuri ya Uru"
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,583 Reaction score 27,838 Jul 22, 2016 #26 Otorong'ong'o said: Ulaya . Arusha na Kilimanjaro ni Ulaya ya Tanzania.. Click to expand... Na Wazungu watasemaje sasa kama wakitaka kuiongela Moshi na Arusha kama wewe unaziita Ulaya za Tanzania? Kwa maana wanatoka Ulaya kuja kuona Moshi na Arusha!
Otorong'ong'o said: Ulaya . Arusha na Kilimanjaro ni Ulaya ya Tanzania.. Click to expand... Na Wazungu watasemaje sasa kama wakitaka kuiongela Moshi na Arusha kama wewe unaziita Ulaya za Tanzania? Kwa maana wanatoka Ulaya kuja kuona Moshi na Arusha!