Chali wa Moshi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 258
- 61
Wewe uko njiani kwenda Arumeru kusaidia ujambazi wa kura za magamba wewe moshi mwaka mmoja umekaa lini kilaza original!!Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia. sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.
tafadhali naomba kuwasilisha.
waache kukimbizana na wavuta fegi,wakwangua vocha, watema mate na kujikusanyia elfu hamsini hamsini wakuwekee taa?Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia. sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.
tafadhali naomba kuwasilisha.
Mzazi,uongozi mmewapa wahuni wasio nataa nyumbani kwao sasa unatarajia nini si kila mtu wa CDM anafaa

Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia. sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.

Wewe uko njiani kwenda Arumeru kusaidia ujambazi wa kura za magamba wewe moshi mwaka mmoja umekaa lini kilaza original!!
Tuliwapa CCM wakachukua viwanja vyote vya manispaa wakavibinafsha vikawa vya CCM, vile vile wakachukua majengo ya manispaa wakabinafsha. so who to trust??
Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia. sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.
tafadhali naomba kuwasilisha.
Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia. sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.
tafadhali naomba kuwasilisha.
we mwongo sana, mbona taa zinawaka? Au unasemea moshi ipi ndg!
Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia. sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.
tafadhali naomba kuwasilisha.
Mbona moshi inaheshima yake ukilinganisha na pwani,tanga,lindi, mtwara,rukwa,dodoma,tabora ambaya magamba ndio viongozi
Ngoiva, acha kudanganya watu wa jamvini. ukitoka kipleft cha mwenge ukiwa unashuka na barabara ya mahakamani kupita manispaa nigiza tupu.
haya barabara yakutoka manispaa inaingia hapa parkview hotel mpaka stendi giza balaa.
sasa wewe ndonikuulize uko moshi gani?