Nashukuru wote mlionipokea hapo Moshi December,kwa kweli nilijidai sana na wageni wangu walifurahi sana baada ya kula mtori na gali nyama choma vitu ambavyo havipo kabisa mitaa hii!!!
Kilichonishangaza ni jinsi mji wa Moshi ulivyobadilika sana sana,kwa kweli nilipoondoka niliacha maduka karibu yote makubwa yanaendeshwa na Wahindi,kusema kweli sikuona Mhindi hata mmoja,sijui wako wapi,,wamekimbia competition??]
Nimeshangaa kuona msururu wa magari na kuna traffic kubwa ya magari kitu ambacho hakikuwepo,pale soku kuu Moshi zamani tulikuwa tunapita na speed ya 120 lakini sasa hivi kutoka soko kuu kwenda stand ya mabasi utatumia dakika 20 na gari jambo la kushangaza sana
Vilevile tulishangaa kuona jinsi watu wa Moshi walivyobadilika na kutumia magari yao kwenda nyumbani,tulitoka moshi tarehe 23 kwenda dar,tulipishana na magari binafsi sio mabasi kuanzia Moshi mpaka Dar,magari mengi sana kitu ambacho hakikuwepo,
naona watanzania wameamka sana sasa hivi,hongereni sana wandugu.
Kwa ukabila uliojaa uchagani si muhindi tu hakuna mtu yeyote atakayeweza atakayeweza kushindana na akashinda
Wewe usiifananishe Moshi uliyoiona December na Moshi ya kawaida. Hizo trafic jam ulizoziona ni kwa sababu ya tabia ya Wachaga kukimbilia Moshi december. Ukitaka kuijua Moshi vizuri itembelee kuanzia February, baada ya Hijja ya Wachaga. Wahindi bado wapo ingawa wamepungua, pita double road kama unaenda soko la kati ndio utawaona vizuri, na barabara ya Hindu Mandal wamejazana mbaya.
Mji ushaanza kutulia sasa hivi hakuna cha jam na Wahindi wako bize na maduka yao.
Karibu tena Mo- Town![/QUOTE
uzuri wa mji siyo trafic jam,lakini ukweli utabaki palepale mji mzuri kabisa tanzania ni mioshi,ikifatiwa kwa mbali kabisa na iringa,jamni shule ya ukweli old moshi ipo nimetoka mianga mingi sana, au imeshaungua,ofkoz nimeplan kuja april kuchukua kacheti kangu ka ALEVEL pale old school,najua nitaenjoy sana.
Kuna mitanzania mingine ina wivu wa kike.
Source: Benjamin William Mkapa.
Hivi ile Gas ya Mtwara kelel zake zimeishaje bila kumsikia huyu Mkapa aua kwa vile kaoa kwa kina Minde pale Uru na kujenga Lushoto?Kuna mitanzania mingine ina wivu wa kike.
Source: Benjamin William Mkapa. kumbe ni Pius Msekwa Du sorry sana na kwa wakerewe
Utakuwa hujautendea haki mji pamoja na wanaoishi humo kama hutataja hatua kubwa iliyofikiwa katika hali ya USAFI kwa ujumla,kwa kweli ni mji ambao inapaswa watanzania wakajifunze namna ya ustaarabu wa kulinda mji kwa USAFI kwani ndiyo mji pekee hutapata kuona vyocha za simu ama chupa tupu za maji achilia mbali vifungashio vya pombe za plastic zikiwa zimetapakaa ovyo,ukipatikana unatupa hovyo vocha ya simu ama chupa ulonywea maji faini ni elfu 50 na hiyo haina hongo kupitia hivyo wananchi wamejifunza na kufaulu somo la kutunza mazingira.HONGERA WACHAGHA HONGERA MOSHI.Wahindi hawana ubavu wa kushindana na mchaga hata kidogo ingawa wafanyabiashara wengi wa Moshi hawajasoma lia kwenye mambo ya pesa wana PHD.
Wahindi walikuwa wanalipa kodi 40000/= kwa mwezi chumba cha biashara ila mchaga anaenda shirika la nyumba anawaambia atalipa Laki 3 kwa mwezi wamtimue muhindi halafu achukue hicho chumba.
ndio maana wahindi wameisha double road Moshi, maduka yote ni wachaga tu.
Kwa ukabila uliojaa uchagani si muhindi tu hakuna mtu yeyote atakayeweza atakayeweza kushindana na akashinda
yap tatizo alienda dec nenda miez mingin kumbe huyu jamaa mshamba wa magar life la mosh tite mmekimbia wote
Kwa ukabila uliojaa uchagani si muhindi tu hakuna mtu yeyote atakayeweza atakayeweza kushindana na akashinda
kaka mi nilienda old moshi ipo mi nimemaliza 98 ila kashule now kamechoka kiainaWewe
usiifananishe Moshi uliyoiona December na Moshi ya kawaida. Hizo trafic
jam ulizoziona ni kwa sababu ya tabia ya Wachaga kukimbilia Moshi
december. Ukitaka kuijua Moshi vizuri itembelee kuanzia February, baada
ya Hijja ya Wachaga. Wahindi bado wapo ingawa wamepungua, pita double
road kama unaenda soko la kati ndio utawaona vizuri, na barabara ya
Hindu Mandal wamejazana mbaya.
Mji ushaanza kutulia sasa hivi hakuna cha jam na Wahindi wako bize na
maduka yao.
Karibu tena Mo- Town![/QUOTE
uzuri wa mji siyo trafic jam,lakini ukweli utabaki palepale mji mzuri
kabisa tanzania ni mioshi,ikifatiwa kwa mbali kabisa na iringa,jamni
shule ya ukweli old moshi ipo nimetoka mianga mingi sana, au
imeshaungua,ofkoz nimeplan kuja april kuchukua kacheti kangu ka ALEVEL
pale old school,najua nitaenjoy sana.
Kwa ukabila uliojaa uchagani si muhindi tu hakuna mtu yeyote atakayeweza atakayeweza kushindana na akashinda
na hivi ulivyo kupe, kipande hicho hakuna wa kumnyonya maana inaelekea unapenda vya bure. kule ni mzigo tu, hakuna kuiba, wala kuchora. wewe umewaona mafisadi wakijipendekeza huko, hakuna upenyo- kazi kazi tu
Nashukuru wote mlionipokea hapo Moshi December,kwa kweli nilijidai sana na wageni wangu walifurahi sana baada ya kula mtori na gali nyama choma vitu ambavyo havipo kabisa mitaa hii!!!
Kilichonishangaza ni jinsi mji wa Moshi ulivyobadilika sana sana,kwa kweli nilipoondoka niliacha maduka karibu yote makubwa yanaendeshwa na Wahindi,kusema kweli sikuona Mhindi hata mmoja,sijui wako wapi,,wamekimbia competition??]
Nimeshangaa kuona msururu wa magari na kuna traffic kubwa ya magari kitu ambacho hakikuwepo,pale soku kuu Moshi zamani tulikuwa tunapita na speed ya 120 lakini sasa hivi kutoka soko kuu kwenda stand ya mabasi utatumia dakika 20 na gari jambo la kushangaza sana
Vilevile tulishangaa kuona jinsi watu wa Moshi walivyobadilika na kutumia magari yao kwenda nyumbani,tulitoka moshi tarehe 23 kwenda dar,tulipishana na magari binafsi sio mabasi kuanzia Moshi mpaka Dar,magari mengi sana kitu ambacho hakikuwepo,
naona watanzania wameamka sana sasa hivi,hongereni sana wandugu.
Hahahaa upo sahihi hamna sehemu ngumu kama moshi m telling you.. Mzunguko wa ela upo kidogo sana..mwezi wa neema ni wa 12 tuu.