Moshi: Daladala zimegoma kisa Bajaj

Moshi: Daladala zimegoma kisa Bajaj

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,697
Reaction score
59,202
Daladala katika Manispaa ya Moshi Kilimanjaro, zimegoma zikitaka SUMATRA kuondoa bajaji kwenye barabara wanazotumia.
 
kama madai ya mgomo wao ni reasonable basi wasikilizwe,!! ila kama wanawajaribu watukufu,shauri yao!!!
 
Daladala zilisharinga sana Moshi.
Za kiboriloni,Mjohoroni,KCMC unasubir nusu saa eti ipo foleni.

Watu wa Dar leteni Bajaj hapa Moshi,maana hamna namna.

Eti ziondolewe,ziende mto karanga ama Rau?

Mshazoea biashara monopoly,sasa ni kula kwa urefu wako
 
Walete tu, kutoka ushirika wa neema eti unatumia mia sita hadi mjini,
 
Matajiri wa daladala ms ni wajinga sana.ivi unaweza nunua hiace mtumba wa japan ml 24-28, halafu mwenzio akanunua hiace chakavu mtaani kwa ml 6.mkaanza biashara mnaweka gari zenu kilo,zinakuwa zinatoka kwa dk 3 kila moja ikifika jioni gari bovu kalaza 30 elfu na gari mpya kalaza 30elfu.je ni akili au matope.wanatumia vichwa vyao kubebea masikio.vunjeni kilo watu wachape kazi,gari mbovu zitaondoka zenyewe na bajaj zitachapa kazi vizuri tu.
 
Bajaji ndo kila kitu nashangaa Zanzibar hazionekani wakati dala dala wanakuweka kwenye kituo mpaka unachukia.
 
Kwa asiejua Moshi ilivyo kuhusu usafiri wa daladala ni tabu tupu uliona wapi daladala inasubiri abiria wajae ndo iondoke na njiani inapakia acha bajaji ituwahishe makazini nyie ngojeni vilaza wenzenu wajaze daladala sie tupande bajaji
 
Msihofu nimetokamoshi kumaliza hilotatizo akuna jinsi washapewa msimamo wa manispaa NA sasa SUMATRA TUMETOA RUKSA KULA VICHWA VYA LESEN ZA MADEREVA WABISHI

HK2
 
wanaume wa moshi mna tabia zakususa Susa sie huku dar hamnaga tabia hizo!! kwa kweli mnahitaji antibiotics kutibu hayo maradhi yenu! dume linaanzaje kususa? najiuliza tu
 
Back
Top Bottom