Hao hapo mama na bintiView attachment 2075212
Bwashee mbona una chuki na hasira sana juu ya hili kabila? Wamekufanyaje mpaka kufikia kuwaita binadamu wenzio takataka?Wameshindwa kuishi na waume zao. Ni muda sasa wanashindwa pia kuishi na watoto wao.
Hili kabila ni takataka!
Ukichaa kwenye mali tu au siyoKuna magonjwa ya akili pia, watu wengi ni vichaa kichwani na mara nyingi ni ya kurithi unakuta Wazazi ni vichaa pia, Babu na Bibi na kuendelea.
Si utafute nawe za kwako !!.Eeh safi hii fundisho kwa wale wazazi wanaoendelea na ule msemo wa "hizi zangu katafute zako"
Mzazi wako aligawiwa au alitafuta kwa jasho lake?Wee sema hivyo tuu....sasa mali umahangaika kuzipa ila kwa sababu ya uchoyo watoto wako wenyewe wanakuondoa. Wazazi acheni ubinafsi gaweni mali hizo
Kwani uongo?! Watafute zao kweli. Hata wakiendelea kuuwa wazazi ndio itasaidia?! Ni uvivu tamaa kukosa mbinu akili duni ndio inawafanya wawe majinga kutokutafuta zao. Na wafanyayo haya wafie jela au wafe kwa kamba tuEeh safi hii fundisho kwa wale wazazi wanaoendelea na ule msemo wa "hizi zangu katafute zako"
Yaan mzazi kakukuza plus kukusomesha pengine kajinyima ili mwanae akuhudumie mpaka sasa umekuwa jitu lizima yaani fadhila zote hizo bado unasema ni mbinafsi aisee utakuwa una matatizo ya akili.Wee sema hivyo tuu....sasa mali umahangaika kuzipa ila kwa sababu ya uchoyo watoto wako wenyewe wanakuondoa. Wazazi acheni ubinafsi gaweni mali hizo
Anajifungua kama wanavyojifungua hawa wa uraiani, uchungu uko palepaleHivi ikatokea mfungwa wa kike akapata mimba huwa inakiwaje ?
Acha kujumuishaKwa mchaga kuuwa iliapate pesa ni jambo la kawaida
USSR
Unajisikiliza?Mama alikuwa nesi???kcmc!
Matukio mengine tusiangalie upande mmoja...
Kuna unyama mkubwa zaidi ya kumchinja MAMA YAKO MZAZI na kumfukia kwenye nyumba hiyo hiyo mnayoishi ili Umiliki Mali alizozitafuta yeye mwenyewe?Ni bahati mbaya tu kajulikana ndo maana anaonekana mtu wa ajabu lakin Kuna watu wengi tu Leo hii wanaonekana mashujaa na watafutaji lakini nyuma ya mali zao Kuna unyama mkubwa wamefanya zaidi ya huyo Binti lakini kwakua binadam tumeumbiwa unafki watu wote watamlaumu kwa kujidai wao ni wema sana
Kwani mulitafuta hizo mali pamoja na mzazi? Mzazi yuko sahihi kabisa, yeye ndiye aliyefanya kazi na kuteseka kwa hivyo hicho alichofanikiwa kukichuma ni chake.Eeh safi hii fundisho kwa wale wazazi wanaoendelea na ule msemo wa "hizi zangu katafute zako"
Kweli kila mtu ana malezi yake, wengine yanawagharimu baadae na wengine hufaidika nayoSasa atakataaje tena wakati mie ndio mtoto wake? Haoni kuwa hiyo ni rroho mbaya tuu? Yaani mtoto ateseke huko wakati mie ninauwezo wakumsaidia as long as haendi kufanya kitu kinyume na sheria za nchi....hapo sasa sioni faida ya kuwa mzazina mtoto nae hataona faida ya kuwa na mzazi mwenye uwezo kiuchumi.
Harafu mtu kama huyu ndo awe makamu wa rais kwa katiba ya tanzania? Siku 21 za bendera nusu mringoti inatuhusuMama mzazi kabisa kwa mikono na macho yako unamnyonga na unashuhudia akitapatapa kukata roho na unamfukia peke yako na unaendelea kuishi eneo Hilo Hilo!! Waume zenu je? Ndugu wa waume zenu? Watoto wa mumeo je,,,