MOSHI: Amuua mama yake kwa kumchinja na Panga

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,395
Katika hali isiyokua ya kawaida mama mmoja mkazi wa kijiji cha Kimira Masama Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro anayefahamika kama "Mama Asha" ameuliwa na kuchinjwa na kijana wake wa kiume

Inadaiwa kuwa kijana huyo alikua haishi hapo nyumbani kwa mama huyo

Inadaiwa majuzi tu baada ya mama alitoka msikitini kisha akaelekea nyumbani kuandaa futari

Inaelezwa kuwa wakati anafutari akiwa dukani kwake ndipo mwanae huyo alikuja nyumbani ghafla akaingia dukani na kumvamia mama yake huyo na kisha kuanza kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

Jirani mmoja aliyekua anakatiza katika eneo hilo alipoona tukio hilo alipiga mayowe huku kijana huyo akafanikiwa kutoroka na kukimbilia kwasadala.

Polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo
UPDATE ZAIDI
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Safina Tarimo (78) amefariki dunia katika tukio la kusikitisha lililotokea katika Kijiji cha Kimira, Kitongoji cha Majengo, Kata ya Romu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro baada ya mtoto wake wa kiume Jumaa Ramadhani (40) kumkatakata kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia kifo .

Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka kwa mashuhuda wa eneo hilo, marehemu alikutwa amefariki ndani ya nyumba yake Machi 2,2026 huku damu ikiwa imetapakaa eneo lake la kazi alipokuwa akifanya biashara ya kuuza duka.

Mashuhuda wameeleza kuwa chanzo cha tukio hilo ni baada ya Kijana huyo kumtuhumu mama na ndugu zake kuwa ni wachawi na wamekuwa wakimroga ili asifanikiwe ambapo alifunga safari kutoka Kwasadala anapoishi na kuja kutekeleza unyama huo huku akiwa ameficha sura.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro (SACP) Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mtuhumiwa ametafutwa mara kadhaa nyumbani kwake bila kupatikana hivyo Jeshi la Polisi bado linaendelea kumtafuta ili hatua za kisheria zichukuliwe .

Mwandishi @mc_malaika_event
@nuhu_suleimantz

1772892815709.jpg
 
Katika hali isiyokua ya kawaida mama mmoja mkazi wa kijiji cha Kimira Masama Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro anayefahamika kama "Mama Asha" ameuliwa na kuchinjwa na kijana wake wa kiume

Inadaiwa kuwa kijana huyo alikua haishi hapo nyumbani kwa mama huyo

Inadaiwa majuzi tu baada ya mama alitoka msikitini kisha akaelekea nyumbani kuandaa futari

Inaelezwa kuwa wakati anafutari akiwa dukani kwake ndipo mwanae huyo alikuja nyumbani ghafla akaingia dukani na kumvamia mama yake huyo na kisha kuanza kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

Jirani mmoja aliyekua anakatiza katika eneo hilo alipoona tukio hilo alipiga mayowe huku kijana huyo akafanikiwa kutoroka na kukimbilia kwasadala.

Polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hiloView attachment 3554329
MKUU NISAMEHE KWENYE HILII

WACHAGA WANAUWANA HATAREE SANA MAOMBI YENU TU

1.UCHAWI
WAPO WANAMBIWA PITA NA MZAZI.MTOTO NK

2 MALI NA TAMAAAA

3.SHETAN KANIPITIA

HILI.LA.SHETAN N MARA CHACHE

ILA HIZO MOJA NA 2 ACHA NA WENGI WAKISHAUA HATA WAJE KUWA NA MALI WANAKUFA VIFO VIBAYA SANAA

FWATILIA MATUKIO YA TOKA SEPT..BALAA

HITI YA MUNGU IMEPOTEA

KIBURI
 
Katika hali isiyokua ya kawaida mama mmoja mkazi wa kijiji cha Kimira Masama Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro anayefahamika kama "Mama Asha" ameuliwa na kuchinjwa na kijana wake wa kiume

Inadaiwa kuwa kijana huyo alikua haishi hapo nyumbani kwa mama huyo

Inadaiwa majuzi tu baada ya mama alitoka msikitini kisha akaelekea nyumbani kuandaa futari

Inaelezwa kuwa wakati anafutari akiwa dukani kwake ndipo mwanae huyo alikuja nyumbani ghafla akaingia dukani na kumvamia mama yake huyo na kisha kuanza kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

Jirani mmoja aliyekua anakatiza katika eneo hilo alipoona tukio hilo alipiga mayowe huku kijana huyo akafanikiwa kutoroka na kukimbilia kwasadala.

Polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hiloView attachment 3554329
Sasa hii ☝️ migomba imefanyaje tena mkuu.
 
Inasikitisha sana,kuna kijana yupo huko wanawindana na mamaake nimejaribu wakae sawa nikaambulia mitusi.
Nimewaacha waelewane
 
Back
Top Bottom