Machali aliitafuta nafasi hiyo siku nyingi sana kwa kinyume na Kafulila na kuambatana na Mbatia. Ngoja niwaulize washikaji wa Murufiti, Nyansha, Heru, Msambara nISIKIE MAONI YAO
patam hapo mi naomba waandaliwe mdahalo hasa juu ya dhna ya kuwajibishana maana inawahusu sana Nape anawadis mafisadi,mnyika anamdisi shibuda na machali anamdis kafulila.kaz ipo
Mbunge wa Kasulu Mjini kupitia chama cha NSSR Mageuzi Mh Moses Joseph Machali ameteuliwa rasmi kushika nafasi ya Katibu uenezi wa chama,
nafasi iliyoachwa wazi na David Kafulila ambae chama kilimvua wazifa huo mapema kabla ya kumfukuza uanachama.
Uteuzi huo umefanywa jana na Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi Bw Sam Luhuza.
mie niko heru natelemka town.asubuh nimeacha maandaliz ya mkutao wa nccr.nitawajuza watakachosema zaitun na machali kama watakuwepo.nccr kwa kasulu mjin yaonekana machali kapoteza umaarufu. Hajatulia kivile!hakuna siasa mbaya mtu akikutukana nawe unajibu bila staha kwa matusi.machali ni wa design hii ya jazba na matusi