TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,447
- 3,460
Habari wana JF, nimekuja morogoro kuna eneo nimenunua huku tungi,,nimeanza ujenzi wakuzungushia ukuta kwanza ili kulinda eneo, maji ya kujengea nilikuwa nachota kwenye bomba la jirani kwa kulipia ndoo moja ya lt20 kwa tsh.50/= sasa bwana kilichotokea hawa mamlaka ya maji hapa morogoro wamwekuja na utaratibu ambao hata mtu mwenye kiwango cha elimu ya STD7 hawezi toa amri ya kipuuzi kama hii , ni kwamba wale wote wenye mabomba ni marufuku kuwauzia maji wale ambao hawajavuta mabomba ya maji kwenye nyumba zao.
Kinachotokea sasaivi watu wanakunywa maji machafu hakyamungu,,na ukionekana we mwenye bomba unawauzia maji ambao hawajavuta maji, basi Moruwasa wanakuja kwako wanangoa mita NA wanakukatia huduma ya maji na faini juu,, kibaya zaidi huku wengi ni masikini wa kipato cha chini kabisa, kiasi kwamba asilimia kubwa hawamudu gaharama za kwenda kulipia ili waunganishiwe maji, basi ni mateso huku hamna mfano,,
Aisee kuna viongozi nchi hii hawana akili kumbe MH. Rais huwa akoseagi kuwatimua au kuwatumbua,,sijui kama huu upuuzi mh.Rais anaujua au huyu katibu wake ndg Kitila Mkumbo , , ni unyama kabisa aisee,, nimehamua kwanza kusitisha ujenzi nifanye mpango wa maji,, kibaya zaidi morogoro ndio huna lakuwaambia juu ya ccm au huyo mbunge wao ABOOD