Mortuary attendant inafundishwa wapi Tanzania?

Mortuary attendant inafundishwa wapi Tanzania?

Cainan

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
477
Reaction score
572
Habari za Nazi wakuu poleni na majukumu,

Niende kwenye mada moja kwa moja

Hivi kuna mtu anayejua kozi ya Mortuary Attendance inapotolewa hapa Tanzania kwa level yoyote ile?
 
Habari za Nazi wakuu poleni na majukumu
Niende kwenye mada moja kwa moja
Hivi kuna mtu anayejua kozi ya mortuary attendance inapotolewa hapa tz kwa level yoyote ile ?
Hiyo sio lazima kusomea hata ukipewa training unafanya hakuna vitu vya technique know how katika hiyo field, na kazi yake unaweza iombea kwa course ingine za kitabibu
 
Naona umechungulia Ni fursa nzuri kipindi ichi cha magonjwa ya upumuaji
 
Hongera mkuu kwa kuona fursa. Ila sio mchezo kwa kweli.
 
Hio sio kama kibarua yeyote ambaye fyuzi zimekatika kichwani anafanya ?
Una bahati kuwa umeificha ID yako. Weka sura yako hapomshana jr aione akungojee utakapo letwa kwenye 18 zake kma hataziondoa sehemu nyeti auze.
Kuna watu wametajirikia kwenye hiyo kazi sana. Sasa ni hii shida ya kupumua ilivyozidi nadhani hata bei ya mizigo itapungua.Usiwatanie watu na kazi zao ati fyuzi imekatika
 
Habari za Nazi wakuu poleni na majukumu,

Niende kwenye mada moja kwa moja

Hivi kuna mtu anayejua kozi ya Mortuary Attendance inapotolewa hapa Tanzania kwa level yoyote ile?
Hospitali zenye vyuo karibu zote zinafundisha, ulizia iliyoko karibu nawe upate cheti chako uanze kazi maana ajira nje nje.
 
Back
Top Bottom