Morris Chestnut: Is this dude a chick magnet?

Morris Chestnut: Is this dude a chick magnet?

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,355
Reaction score
111,637
morris-chestnut2_1_1.jpg


Kwa wale ambao ni wapenzi wa filamu za Magharibi, bila shaka jina Morris Chestnut si geni katika fikra zenu...

Mwenye picha hiyo hapo juuu haswa ndiye kijana Morris na mmoja kati ya wasanii wenye kipaji cha hali ya juu katika uigizaji miongoni mwa Waamerika wenye asili ya Kiafrika...

Binafsi nimekuwa nikijikita kwenye tafiti zangu binafsi, tafiti ambazo zitanifanya na hunifanya kuwaelewa wanawake katika angles tofauti.

Kwenye moja ya tafiti zangu nimegundua kuwa wadada/wanawake wengi ambao ni wapenzi wa filamu, huvutiwa sana na huyo bwana hapo juu. Yaani kuvutiwa kwao ni kwa kimahaba zaidi na wala si sanaa aioneshayo.
Wapo waliodiriki/wanaodiriki kusema kuwa kama kungelikuwa na nafasi ya kulala na huyo jamaa basi hilo zoezi wala lisingelikuwa na ukinzani wowote.

Sasa naomba niwaulize ninyi wadada/wanawake...Kwa nini mnampenda/mnamzimikia sana Morris?

Ni kitu gani ambacho kwake huwa mnakiona na hakionekani kwa wanaume wengine?

Ni vitu gani ambavyo huwa ukiviona kwa mwanume(hapa namaanisha mwanaume yoyote), huwa vinaukuna mtima wako kiasi cha kumtamani hata kwa "a single one night stand"?
 
Sasa naomba niwaulize ninyi wadada/wanawake...Kwa nini mnampenda/mnamzimikia sana Morris?
sijavutiwa nae hata kidogo,,,,,,,

Ni kitu gani ambacho kwake huwa mnakiona na hakionekani kwa wanaume wengine?
sijaona kitu cha tofauti zaidi ya upara maana kwa rika la huyo Morris kwa hapa bongo hawapendi kunyoa style ya msibani.

Ni vitu gani ambavyo huwa ukiviona kwa mwanume(hapa namaanisha mwanaume yoyote), huwa vinaukuna mtima wako kiasi cha kumtamani hata kwa "a single one night stand"?
hii ni siri yangu,na haiwezi tokea kumgawia mtu k yangu kama njugu mawe kwa sababu nimevutiwa nae(one night stand) never ever.
mhe. spika nasubiria swali la nyongeza.
 
sijavutiwa nae hata kidogo

Ushawahi kuona filamu zake au kumuona mahala pengine? maana wengi wanaovutiwa naye ni wale wenye kumuona mara kwa mara
 
yaani sio mzuri nikisema ni mzuri nakosea ni mtamu haswaaa
 
sijawahi kuvutiwa na huyo msanii zaidi za kuvutia na filam zake tu.
 
mimi ungeniuliza huyu....ningekwambia ile yangu yote.....uwiiiii........(ila kabla hajananihii)........
looon.jpg
 
Hivi lugha ya Kiswahili unaielewa vizuri?
Unajua maana ya neno utafiti?

Mie hofu inakuja kwamba aliendika huu uzi ni mwanaume ,sasa we unavutiwa vipi na mwanaume mwenzio.
Hili swali angesema mwanamke kidogo lingekuja
 
Dr nipe sababu basi...si unajua Dr mwenzako kuna jambo nalisaka kwenu...

mimi ungeniuliza huyu....ningekwambia ile yangu yote.....uwiiiii........(ila kabla hajananihii)........
looon.jpg
 
Mkuu huyu jamaa ndio ka igiza ile series ya SINGLE LADIES???if the answer is YES basi ndugu zetu wale wanampenda sana!!
 
Mie hofu inakuja kwamba aliendika huu uzi ni mwanaume ,sasa we unavutiwa vipi na mwanaume mwenzio.
Hili swali angesema mwanamke kidogo lingekuja

mkuu sijui hujaelewa.........swali tumeulizwa sie wanawake........mi naona ungetuacha tu wenyewe tujibu tulioulizwa.........
 
wadada endeleeni kutiririka nitarudi kusoma.....
 
Mkuu si yeye wamefanana tu...huyo wa Single Ladies anaitwa D.B Woodside.

Huyu ninayewauliza wadada hapa kaigiza movies kadhaa ila maarufu ni 'Not Easily Broken' na 'Think Like a Man'

Mkuu huyu jamaa ndio ka igiza ile series ya SINGLE LADIES???if the answer is YES basi ndugu zetu wale wanampenda sana!!
 
Huyu is just a boy, bora hata Densel at his age.

Okay...
So Denzel at his age alikuwa anakuvutia kwa lipi...sana sana eleza kitabia zaidi kuliko muonekano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom