Naona haujafika Morogoro wewe, ule mji? Mluguru atakaa kwenye nyumba ya gorofa ya udongo inayokaribia kuanguka atakuambia nyumba yake inashindana na Ikulu na atakuwa radhi kupigana nawe huku mkibishana kisa umemwambia ukweli na yeye hataki anataka tu uamini ayasemayo yeye. Chezea hisia za watu wafupi wewe, shauri yako.