Morogoro watafuna fedha za madai ya walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Morogoro watafuna fedha za madai ya walimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nyamemba, Jan 22, 2012.

 1. nyamemba

  nyamemba JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  wadau tangu serikali itoe fedha kwa ajili ya kulipa madai ya walimu ni mwezi sasa walimu hawajalipwa madai yao huku ikisemekana kuwa pesa hizo zimetafunwa na watumishi wa halmashauli huku walimu wakitishiwa kuwa wasiwe vihelehele la sivyo watashughulikiwa,baadhi ya walimu waliohojiwa wamesema hawajui hatma ya madai yao huku wakitaka kwenda kumuona mh PINDA
   
Loading...