Morogoro tumedhurumiwa malipo baada ya usahihishaji mtihani wa mock, halafu niipigie kura CCM

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Kama kichwa cha habari hapo juu,

Tulivyomaliza kusahihisha 2019 mwezi wa 6 tulilipwa laki moja tuka ambiwa tutamaliziwa laki 1 na elfu 80 mfumo ukifunguliwa, sasa walioenda kusahihisha mwaka huu wamelipwa pesa yote, walivyoulizia ya mwaka jana 2019 wakaambiwa wavute subira, sasa leo hii mimi niipigie kura CCM labda nitakuwa kichaa, serikali ipo tuu inaangalia, nilisha andika hapa Jamiiforums swala hili lakini halijafanyiwa kazi

Dhuruma ya malipo sio nzuri
 
Usipige Kula, piga Kura mkuu

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Jamii forums kuna maafisa waliokupa kazi ya kusahihisha? Unaandika barua humu badala ya kwenda kwa Mkurugenzi umwambie akupe chako coz kazi imefanyika.
 
Mwalimu umetoa boko.

Sahihisha sarufi hapo
 
Jamii forums kuna maafisa waliokupa kazi ya kusahihisha? Unaandika barua humu badala ya kwenda kwa Mkurugenzi umwambie akupe chako coz kazi imefanyika.
Anaye husika aisome,tumesha kumbushia wee kimya, pengine viongozi waione, wewe hukuwepo kipindi nahenyeka kusahihisha kaa kimya kama huna cha kuchangia sawa?
 
Wana haki kukudhulumu. Hata kuandika kiufasaha hujui. Mwalimu gani wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…