Morogoro tumedhurumiwa malipo baada ya usahihishaji mtihani wa mock, halafu niipigie kura CCM

Pole mkuu, ila sio mda mrefu watumishi wa umma watageuka kuwa wachawi sana.
 
Hujui matumizi ya r na l na unaenda sahihisha mitihani, vituko haviwezi isha tz.

Hata hiyo laki yaani basi tu uirudishe.
 
Mbona watumishi wa serikali awamu hii mnatia huruma? Mara sijui hawajapewa hela za uhamisho,Mara Likizo, Mara kusahihisha mitihani mara blah blah nyingi mmeshaambiwa na Mkuu wa nchi Kazi ukiiona ngumu acha.
Hiyo kauli ya kwamba ukiona unacholipwa ni kidogo,uache kazi;Siyo kauli ya Kiungwana,hebu jaribu kuvaa viatu vya mwenzako kabla ya kuleta maneno ya kejeli.
 
Mwalimu mbona unaandika HARAFU jamani, tena kwenye kichwa cha habari!

Anyways pole sana mwalimu, hakika dhuluma huwa inaumiza sana.
Wala sio mwl, ni jembe mmoja tu la Bavicha limekuja kuchafua hali ya hewa ya mtandaoni
 
Back
Top Bottom