Morogoro tumedhurumiwa malipo baada ya usahihishaji mtihani wa mock, halafu niipigie kura CCM

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
200
500
Kama kichwa cha habari hapo juu,

Tulivyomaliza kusahihisha 2019 mwezi wa 6 tulilipwa laki moja tuka ambiwa tutamaliziwa laki 1 na elfu 80 mfumo ukifunguliwa, sasa walioenda kusahihisha mwaka huu wamelipwa pesa yote, walivyoulizia ya mwaka jana 2019 wakaambiwa wavute subira, sasa leo hii mimi niipigie kura CCM labda nitakuwa kichaa, serikali ipo tuu inaangalia, nilisha andika hapa Jamiiforums swala hili lakini halijafanyiwa kazi

Dhuruma ya malipo sio nzuri
 
donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
14,283
2,000
Kama kichwa cha habari hapo juu,tulivyomaliza kusahihisha 2019 mwezi wa 6 tulilipwa laki moja tuka ambiwa tutamaliziwa laki 1 na elfu 80 mfumo ukifunguliwa,sasa walioenda kusahihisha mwaka huu wamelipwa pesa yote,walivyoulizia ya mwaka jana 2019 wakaambiwa wavute subira,sasa leo hii mimi niipigie kura CCM labda nitakuwa kichaa,serikali ipo tuu inaangalia,nilisha andika hapa jamii forums swala hili lakini halijafanyiwa kazi.Dhuruma ya malipo sio nzuri
Usipige Kula, piga Kura mkuu

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
2,473
2,000
Kama kichwa cha habari hapo juu,tulivyomaliza kusahihisha 2019 mwezi wa 6 tulilipwa laki moja tuka ambiwa tutamaliziwa laki 1 na elfu 80 mfumo ukifunguliwa,sasa walioenda kusahihisha mwaka huu wamelipwa pesa yote,walivyoulizia ya mwaka jana 2019 wakaambiwa wavute subira,sasa leo hii mimi niipigie kura CCM labda nitakuwa kichaa,serikali ipo tuu inaangalia,nilisha andika hapa jamii forums swala hili lakini halijafanyiwa kazi.Dhuruma ya malipo sio nzuri
Jamii forums kuna maafisa waliokupa kazi ya kusahihisha? Unaandika barua humu badala ya kwenda kwa Mkurugenzi umwambie akupe chako coz kazi imefanyika.
 
Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,422

Mwalimu umetoa boko.

Sahihisha sarufi hapo
 
Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
200
500
Jamii forums kuna maafisa waliokupa kazi ya kusahihisha? Unaandika barua humu badala ya kwenda kwa Mkurugenzi umwambie akupe chako coz kazi imefanyika.
Anaye husika aisome,tumesha kumbushia wee kimya, pengine viongozi waione, wewe hukuwepo kipindi nahenyeka kusahihisha kaa kimya kama huna cha kuchangia sawa?
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,672
2,000
Kama kichwa cha habari hapo juu,

Tulivyomaliza kusahihisha 2019 mwezi wa 6 tulilipwa laki moja tuka ambiwa tutamaliziwa laki 1 na elfu 80 mfumo ukifunguliwa, sasa walioenda kusahihisha mwaka huu wamelipwa pesa yote, walivyoulizia ya mwaka jana 2019 wakaambiwa wavute subira, sasa leo hii mimi niipigie kura CCM labda nitakuwa kichaa, serikali ipo tuu inaangalia, nilisha andika hapa Jamiiforums swala hili lakini halijafanyiwa kazi

Dhuruma ya malipo sio nzuri
Wana haki kukudhulumu. Hata kuandika kiufasaha hujui. Mwalimu gani wewe?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom