johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,599
Karibu sana mh Adam Malima mkoani Morogoro yaliyopigwa si ndwele
Mlale Unono!
Mlale Unono!
Si ndiko alikoibiwa silaha,laptop na pesa na kicheche bada ya nusu kaputi ya nguvu,safari hii atakuwa makini wallahKaribu sana mh Adam Malima mkoani Morogoro yaliyopigwa si ndwele
Mlale Unono!
😂😂😂Mtoto wa kihuni huyu walimwotea
😂 Back in Days Nashera Kama NasheraKaribu sana mh Adam Malima mkoani Morogoro yaliyopigwa si ndwele
Mlale Unono!
Kumbe ilikuwa nashera😂 Back in Days Nashera Kama Nashera
Kama sijakosea , na yule mpododo aliyemliza niliwahionyeshwa bar ya Chipukizi back in daysKumbe ilikuwa nashera
Acha tu. Ila chuma amebadili sana landscape ya life ya bongo asee.😂 Back in Days Nashera Kama Nashera