morogoro mjini 2015

kwa mtazamo wangu huyo hatofaa..nadhani hapa jf kuna mtu alimdescribe kijana mmoja msomi ambaye description zake zilikua convincing kua anafaa..kwamtazamo wangu huyo hafai kabisa japo anahaki kikatiba
 
Huyu kwakweli nooooooooo...
ameweza sugu kwakua anaelewa nn anafanya sasa sio kila msanii aone nae anaweza. Huyu hapana kwakweli abaki tu mwanachama na asaidie kuhamasisha inatosha.
 
Siungi mkono hoja,hafai abaki kama askari wa miguu tu....
 
Huyu yupo cuf hapo kazuga tu na hiyo bendera. Mtatiro analijua hilo.
 
wana moro ndo wanakabidhiwa uamuzi na si mm ama ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…