Morogoro: Kiwanda cha Maziwa., Mrejesho

ze farmer

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
921
1,800
Ikumbukwe kuwa wk chache nilileta Idea kama watu watapenda kushare kwenye project ya kiwanda cha Maziwa Morogoro. Thanks waliojitokeza. I received almost 30 request of interested ventures.
Luckly enough Kuna mtu mzito humu alinitumia particular zake na yeye ni mdau japo si kwenye hii sekta. Niliamua kuanza nae na nilimtembelea ofisini kwake. Akanipa ABCs za shared capital zinavokuwa na lawama at the end. Kama wengi walivyo bainisha kuwa huenda nikawa tapeli ila lazima kuzoea ndivo tulivo.
Kifupi nilishaenda Kenya na nilipata nafasi ya kupresent project yangu. Na kwa vile nilikuwa na almost 70% of required capital wakaiaccept na Sasa nimerudi bongo tunafanya utafiti kuona idadi ya Lita za maziwa tunazoweza PATA kwa siku, ubora na umbali from Moro mjini and the sort of.
As I'm speaking niko SUA j3 naingia mzigoni.

@Sijataka kumpaisha hapa mkuu wa kazi, mtu mwenye network hadi kwa TRUMP (Joke). I literally salute you Bro.
Note. Vijana Tuache hizi mentality za kijinga jinga na uoga. YES WE CAN.
 
Kongratulesheni Mdau, na kila la kheri.
 
Hata mimi Natamani kujua bei ya hao ng'ombe wa Iringa kiwango chao cha uzalishaji wa maziwa Kwa siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom