Nshomile wa Muleba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,165 Reaction score 5,645 Aug 4, 2021 #1 Wakuu habari? Juzi tu hapa nimetoka kumpokea mgeni kwenye Airstrip apa Morogoro cha ajabu huduma ya Uber amnaa wala Bolt au chochote. Nimesikitika sana. Hivi tatizo litakuwa nini mpaka mikoa mingine iwepo lakini Morogoro isiwepo ?
Wakuu habari? Juzi tu hapa nimetoka kumpokea mgeni kwenye Airstrip apa Morogoro cha ajabu huduma ya Uber amnaa wala Bolt au chochote. Nimesikitika sana. Hivi tatizo litakuwa nini mpaka mikoa mingine iwepo lakini Morogoro isiwepo ?