johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,007
- 142,040
Hahahaaaa watu siyo waoga bwashee!Fisi zinakula watoto sasa
Hawa watu wanaiga kutoka kwa CCMHahahaaaa watu siyo waoga bwashee!
Nimeshangaa sana, sema wananchi wa leo siyo waoga hasa wakiwa mbele ya jemedari Rais Magufuli wanakuchoma tu!Na bado sio Morogoro tu bali ni nchi nzima inatafunwa
Jivi Aika ni majina ya wapi maana huyu mtumishi wa manispaa anamiliki vizimba 10!Hawa watu wanaiga kutoka kwa CCM
Na bado shame on you fisiemuNimeshangaa sana, sema wananchi wa leo siyo waoga hasa wakiwa mbele ya jemedari Rais Magufuli wanakuchoma tu!
Majina ya lumumba hayaJivi Aika ni majina ya wapi maana huyu mtumishi wa manispaa anamiliki vizimba 10!
Huyu Aika mwenye vizimba 10 ni mwenyeji wa wapi huyu bwashee?Mkuu endelea tu kumeza dawa zako bwashee. Uko vizuri siku hizi dishi limekaa sawa usiliache likayumba tena. π
Hahahaaaa...... Aika!Aika Tema Pesa Kama Kazi Unaitaka Tena
Na Hao Wenzako Mliopiga Cash Za Vizimba
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Huyu Aika mwenye vizimba 10 ni mwenyeji wa wapi huyu bwashee?
Huyu Mkuu simuamini kwani huenda ikawa kuna jambo lake analichokonoa.Mkuu endelea tu kumeza dawa zako bwashee. Uko vizuri siku hizi dishi limekaa sawa usiliache likayumba tena.