Morogoro bila CHADEMA imerudi kuwa shamba la bibi. Watumishi Manispaa wagawana Vizimba sokoni na kuwakodisha wananchi wanyonge

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,783
2,000
Kama kuna Waziri ambaye Watumishi walio chini yake hawamuogopi kabisa basi waziri huyo ni Selemani Jafo wa TAMISEMI.

Yaani Jafo alikuwa anashinda Morogoro kusimamia ujenzi wa Soko kuu huku akipiga mikwara kibao lakini bado Watumishi wa manispaa wamegawana vizimba vya soko hilo kwa sh 20,000 kwa mwezi na wao wamewapangisha wajasiriamali kwa sh 50,000.

Hivi CCM kwa mwendo huu itaimaliza rushwa kweli huku tukiambiwa Katibu wa CCM mkoa alipokea mlungula ili ambembe diwani " fulani " awe meya.

Hakika pengo la CHADEMA pale Morogoro limeanza kuonekana.

Maendeleo hayana vyama!
 

Mavipunda

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
6,375
2,000
Yule Katibu wa CCM Moro anafungia taifa stars..alikuwa Zanzibar ilikuwa aibu ndio kafichwa huko
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
30,861
2,000
Aika Tema Pesa Kama Kazi Unaitaka Tena
Na Hao Wenzako Mliopiga Cash Za Vizimba
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom