johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,873
Kama kuna Waziri ambaye Watumishi walio chini yake hawamuogopi kabisa basi waziri huyo ni Selemani Jafo wa TAMISEMI.
Yaani Jafo alikuwa anashinda Morogoro kusimamia ujenzi wa Soko kuu huku akipiga mikwara kibao lakini bado Watumishi wa manispaa wamegawana vizimba vya soko hilo kwa sh 20,000 kwa mwezi na wao wamewapangisha wajasiriamali kwa sh 50,000.
Hivi CCM kwa mwendo huu itaimaliza rushwa kweli huku tukiambiwa Katibu wa CCM mkoa alipokea mlungula ili ambembe diwani " fulani " awe meya.
Hakika pengo la CHADEMA pale Morogoro limeanza kuonekana.
Maendeleo hayana vyama!