Morogoro bila CHADEMA imerudi kuwa shamba la bibi. Watumishi Manispaa wagawana Vizimba sokoni na kuwakodisha wananchi wanyonge

Jafo Akimaliza huu mwaka bila kupigwa chini basi atamaliza yoteee iliyobaki maana hii ni mara ya tatu ktk ziara za rais, wizara yake inaonekana kufanya vibaya inshort wasaidizi wake wanamuangusha.

namkubali sana huyu jamaa.
 
Kwani kilichofanyika Machinga complex ni nini??

Mambo kama hayo huwa tunasikia yakifanyika huko, yaani ilipofikia mtandao wa jiji wakati wa maombi ya baadhi ya sehemu za biashara stendi kuu ya mabasi ya mikoani mbezi mwisho kugoma watu wakajua ile ilikua gheresha tu wenye nafasi zao tayari wamezikamatia kama kawaida.
 
Mkuu endelea tu kumeza dawa zako bwashee. Uko vizuri siku hizi dishi limekaa sawa usiliache likayumba tena.
Mienendo yake siku za karibuni haifanani na wana lumumba wenzake, hata kipara kipya na mwenzake YEHODAYA naona akili zimeanza kuwarudia

Kurudi kwenye mada, CCM ni kama viwavi jeshi wakivamia shamba wanatafuna kila kilicho cha kijani.

Nasema uwongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom