Morogoro: Anatafutwa kwa kutupa watoto

Morogoro: Anatafutwa kwa kutupa watoto

Ni aibu na fedheha sana kwa mwanamama mrembo hivyo kutupa watoto na wanja katia machoni kweli? Mungu tunusuru na hiki ni kizazi cha ajabu mno................ sio kwa uthubutu huo jaman. Miaka 9 na sita si bora angewapeleka kwa ndugu yeyote mzaa mama au baba au kwa shangazi daaah
 
inasemekana yupo Far,sehemu ya Bunju na mapinga,anaitwa maria Juma kalonga no mzaliwa was Babati,kabila mbulu ni mweupe, mrefu mnene wasitani,naomba tushilikiane ,namba yakesi MOR/RB/12915/17 ,au namba 0744993994 au 0687291444,zawadi ya sh.laki mbili itatolewa,tushilikiane kumtafuta Dada huyu,ili tutokomeze ukatili dhidi ya watoto ,naomba Uzi huh msiuondoe haraka



Nashauri akipatikana akapate raha jela, hao watoto tugawiwe tuwalee sisi wengine tunaopenda watoto

Hebu hiyo picha iskaniwe vema ionekane maan hapo ilipo mhusika anafanana kabisa na mtoto wa jirani yangu na ametoka shule juzi tu
 
Mods,ule uzi niliouleta hapa jamvini,wa mama kutelekeza watoto,mkoani morogoro,naomba muiunganishe picha hii,tumefanikiwa kupata yenye muonekano mzuri,naomba msaada wenu watoto wanaishi kwa msaada wa majirani,0744993994,0687291444.View attachment 673176


Tunawezaje kuwachangia hao majirani wanaolea hao watoto?
 
Huyu Mwanamke hata hofu ya Mungu hana, ameshindwa hata kurudi Kijijini kujipanga upya na Maisha? Hiyo ya kutelekeza Watoto ndio ameona ni njia sahihi!


Hata angeuza hiyo nyumba akalea watoto
 
Back
Top Bottom