Morning SEX !!

ngoja nishangae kwanza.

Umeenda freeeeesh ila hapo kwenye hoja ya CONDOM kama sijaipenda vile! Watu na wake zeu hiyo mambo ya nini aise?! Nyama iache ipate nyama nyingine!

Kesho ngoja nichangamkie hiyo ila nkichelewa kazini NTAKUMIND kinoma!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mkuu hauna ya kiswahili? maana mimi na ung'eng'e hata huwa haziivi kabisa, nisaidie sana mkuu wangu
 
jina lako linathibitisha wewe ni boflo ile mikate mikavu ya zanzibar
 
Kwa foleni za baadhi ya majiji kama Dar na kufanya kazi kwa Wahindi, hakuna wa kuthubutu hiyo Morning doz, labda Week'nds. Otherwise, tarajia karipio kali kutoka kwa Dugu Patel au Kunjibhai
 
Boflo avatar yako inanikera!weka avatar ya dume lenye madevu,avatar gani hiyo dume limepaka mipouda!?.....btw huyo ni wewe?
 
Mmmh, haya
Cousin hudiskas nini na nini vile?

cc EMT na snowhite
Sas unataka kunilazimisha kujieleza hapa:
tuna cousin wetu mngine (yes, a third) amemfukuza mke wake kwa sababu hiyo
Mimi na cousin wangu mpenzi tukawa tunadiscuss, and he approved mke kufukuzwa.
Leo nimeona hii thread, nimemkumbuka. Kuna nini cha ajabu hapo? EMT anamjua mbona?
 
Last edited by a moderator:
What? Anajua?

Ujue najaribu sana kuharibu, lakini naona hata hajali
Snowhite anatuchezea rafu, anyway nimeamini ila kwa mbaaaaali

 
What? Anajua?

Ujue najaribu sana kuharibu, lakini naona hata hajali
Snowhite anatuchezea rafu, anyway nimeamini ila kwa mbaaaaali
ahahahahahhahahhaa
No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria
 
Ndio, nikido asubuhi kufikia mchana siwezi kufanya mambo mengine sawasawa unless nipate tena.

Kama hali ndivyo ilivyo, tunahitaji ku-document huo utafiti ili tuutumie kutafuta tiba yake
 
Saa hizi sijali, ila weekend tunaenda shelisheli
Saa hizi tuko hapa Marina doing you know what.
weekend pia tutakua wote. Huyo asileti uongo,
amsubiri ofisini kuleeeeee
 
Reactions: EMT
Tena siku tunamshusha tunamng'oa na makucha, aache kabisa kudandia



Your days are numbered!


Saa hizi sijali, ila weekend tunaenda shelisheli

aahhahahhahhahahah uliza hideaway of nungwi kuanzia tar 31 may wana booking ya nani pale kwa $4650
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…