Morning ilipendeza

Hapo anakunywa Tangawizi na viazi manumbu huku akishushia kwa mayai na sausage kwenye hio picha
Ndivyo alivokuwa akimaanisha B,fast ya kinyonge
Mkuu[emoji1321]
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji15]
 
Haha mbiti niache na vitumbua vyangu bana weeh. Napambana na hali yangu tu
hahahah yupo!wakat wewe unaamkia kombe la chai ya rangi isio naspices na vitumbua!mwenzako anaamkia nammna hii!

mambo ni hivi
MI ni bwana pepsi, atakaye wahi kuni inbox no yake ndiye atapata angalau ya balimi
 
Mnawasingizia wanyonge tuu hii breakfast ya kidar es salaam
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…