‘Morning Glory’ kwa wanandoa

una experience na maswali ya kero
 
Mimi nshasema marufuku kuniamsha saa kumi na moja alfajiri, labda kuwe na msiba
 
Kama umeoa au unaishi na partner wako most of the time akili inakua ishajityuni ile alfajiri hata wewe unajikuta tu . ... kama Singo basi muda huo utaamka hata kukojoa tu japo inategemea na mood na msimu

Mimi nshasema marufuku kuniamsha saa kumi na moja alfajiri, labda kuwe na msiba
 
Hahaa shida kubwa ni masuala ya kiuchumi..pia na marketing strategy ya mahusiano..

Unakuta mwanamke amezalishwa watoto wa 5 ' ...so anafikiria kuwa hata akiachana na mume wake ataolewa/ataku katika mahusiano ya kudumu tena na nani??...

Pia anawaza kuwa walisha chuma mali za kutosha na mumewe..Endapo akiachana nae anaweza kuwakosesha haki za msingi watoto wake

So anaamua kufa na tai shingoni

Mbaya zaidi ndoa za namna hiyo ndio wana ndoa huwa wana michepuko kama abiria wa,mwendokasi
Hakufai mie nashangaa kwanini wanaishi kwa shida
si waachane
 
Hiyo ndoano sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…