‘Morning Glory’ kwa wanandoa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo ni full ubabe

 
Nimecheka kwa sauti[emoji1]
 
Hahaaaaa
Mtu aliyelala anajibuje tena??
Isijekuwa " ushalala" ilikuwa gia ya kuanzia[emoji1]
 
ilikuwa gia ya kuanzia mkuu!

Mkuu ile comment yako ya kwanza umenichekesha sana, mleta mada anaishi ulimwengu wa dhahania, unakuta huo so called ‘utukufu wa Asubuhi’ usiku uliuomba na ukaukosa kwa sababu zisizo na msingi then hiyo asubuhi unaupataje.
Ndoa ngumu sana ndiyo mana mimi imenishinda so nimerudisha mpira kwa kipa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa rahisi mkuu ila usiifanye maonyeaho
 
Wanawake tunapaswa kuelewa kwamba, kabla ya kulala usiku lazma uoge, jisafishe maana alfajiri mwanaume akili zake "zinahamia kichwa cha chini" kati ya vichwa viwili alivyo nvyo.

baada ya hapo, kile kichwa kitataka joto, mwachie mwanaume apande juu yako achezee gitaa, ndiyo raha ya ndoa na ukifika kazini kama umepata tendo unakuwa na ufanisi mzuri sana, hata mahakamani wakija mawakili unawaona walivyo werevu, kama wamefanya morning glory, ni nzuri kiafya
 
Asubuhi muandalie kifungua kinywa, akimaliza mkumbutie, muombee kisha muage awe na siku njema kazini. Kisha kila mmoja aende kwenye mishe zake. ,hapa wengi wanapitiwa,ila ndio pa muhimu zaidi,panaacha kumbukumbu flani hivi,amazing...
 
Jaji kumbe mmama??
 
Asubuhi muandalie kifungua kinywa, akimaliza mkumbutie, muombee kisha muage awe na siku njema kazini. Kisha kila mmoja aende kwenye mishe zake. ,hapa wengi wanapitiwa,ila ndio pa muhimu zaidi,panaacha kumbukumbu flani hivi,amazing...
Kweli kabisa mkuu
 


Picha ya dushe tafadhali na ya watu wakipeana ile kitu yetu saa kumi alfajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…