‘Morning Glory’ kwa wanandoa

Hahaa
Move za kikorea Zinazingua watu sn, demu la tandika, manzese, majimatitu kwa mtogole yeye anawaza kuwahi buguruni kuchukua vichwa vya kuku, utumbo, ngozi na miguu yake akaange, ukimwambia sijui morning glory anaweZa kukutukana dadeki
 
Duuuh, sijaona matumizi ya ile asali aliyoenda kulamba jikoni🙄🙄🙄🙄
 
Duuuh kazi mnayo kweli wanawake ysani mtu aamke saa kumi alfajiri akimbilie jikoni kumeza asali kisha arudi nayo mdomoni bila kuimeza aje kuamsha mshedede wa bwanake na kuanza kuipakaza kwenye mgonga wa gridi la taifa daaah poleni sana wanawake maana sheatani mwenyewe haangaiki namna hii!!
 
Nimesoma comment zote, wengi wanasema wanawake wa hivyo hawapo.................... sio kweli hiyo morning glory au wengine tunaita amka na BBC huwa zinafanyika sana tuu mno tena kwa kiwango kikubwa...

Shida siku hizi wanaume mmekuwa wavivu sana mno.... Sijui ni vyakula ama laa.. Tuacheni wanawake tena wasiku hizi hakuna kujua huyu kabila flan kila mtu anajua kumruhusu mwenzie amtendee haka
 
Wanawake wa namna hiyo hawapo siku hizi wameshapotea Toka enzi zile za Vita vya kagera aisee
Nimewaza kama wewe....maana jana usiku nikamkonyeza mwenzangu: umeishalala? akanijibu "nimishalala kwani huoni" kwa jibu hili nikarudi zangu sebuleni kumalizia mzinga wangu wa Konyagi....sijachukia maana tupo pamoja miaka 15 sasa, labda kachoka au hayuko kwenye "mood",nk sasa hizo mbwembwe za "utukufu wa asubuhi" ataziweza kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…