‘Morning Glory’ kwa wanandoa

Mleta mada anazungumzia movie au kusadikika
kwanza mm huwa sijui ni mshamba maana sipendi sijui kuninyonyanyonya sitaki maufundi sijui sitaki,yaani ukitaka uniudhi niahirishe anza kunisemesha sijui maufundi naweza kuamka nikasepa ...mda wa kuwaza kutiana ulishakuwa mdogo kuliko majukumu
 
sio kulala chali ndoa ina mambo mengine zaidi ya msingi kuliko kutiana..ishu ya kutiana inapungua umuhimu kadiri ya umri wa ndoa..mm binafsi sipendi kuitana sikuhizi kuduu mara 2 tu kwa mwezi ni kawaida na sioni shida,mwanamke ukiona hutosheki ruksa kuchepuka ila tu nisikufume sina neno na sifuatiliagi mwanamke kijinga jinga
Kupitia comments tuu, ndoa nyingi zimelala chali..

Mkuu hiyo sijui morning utukufu ni kila siku Monday to Sunday, ama ni siku mkiwa na appetite?!
 
Hayo mambo unayoongea hayako kwenye ndoa,kwenye ndoa ni majukumu na kutoleana nyege baasi habari hizo nyiingi peleka huko kwa michepuko au kwa wasichana na wavulana ambao wana mihemko
bila shaka hujaoa mkuu unaishi na mke mtarajiwa wa mtu, ndomana hakujali?
 
bila shaka hujaoa mkuu unaishi na mke mtarajiwa wa mtu, ndomana hakujali?
Nina miaka 6 kwa ndoa na kid 2 sasa hanijali vipi,ujue tunatofautiana sijawahi mpenda mwanamke eti kisa anajua manjonjo mm sio wa hivyo zaidi zaidi ntahisi wewe malaya ko tulia fanya ya msingi ukijifanya mjuaji wa maidizo kwangu unapoteza...ndio maana mm huwa najeuri kwamba hakuna mwanamke wa kuupeleka puta moyo wangu hayupo maana mapenzi ni sehemu ndogo kwenye ubongo wangu
 
tuwe makini kwenye morning glory , watoto wapo likozo ya CORONA, tusitoe miguno mikubwa pale utamu unapokole, wenye ndoa mnanielewa
 

We dogo fala sana... mi nilijua unapromoti nyimbo za kusifu na kuabudu.

Haya unayoandika ni mambo ya kwenye series. Sisi wabongo alfajiri demu unamshikashika chuchu akifumbua macho unamgeuza unatemea kidole mate unamtekenya nacho kwenye uchi kama dakika moja hivi unampanua mapaja unapiga.

Kisha unaingia bafuni kuoga ukitoka kama bado yuko kitandani unapiga kingine unanawa fasta unawahi kazini.

Mambo sijui ya "Nakupenda mimi ni wako" hayo yaweke kwenye script utengeneze muvi au series. Ungekuwa hunipendi au sio wangu unafanya nini kitandani kwangu?
 
WASUKUMA bhana, ndio maana mnagongewa na wachaga wanaojua kubembeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…