Kwa mujibu wa maelezo ya mwanaspoti Morison alisimamishwa na polisi baada ya kuhisi harufu ya bangi, dereva na Morison waliwaruhusu wakague hawakukuta kitu chochote baadae wakataka simu ya Morison waikague hapo ndio utata ukaanza mpaka wakafikishana polisi cha kujiuliza polisi waliwezaje kunusa harufu ya bangi kwenye gari iliyofungwa vioo pia kwanini watake kuikagua simu ya Morison