Movie ni zaidi ya movie really inspiring. Perfomance ya Robbins na Freeman siyo kawaida ,zaidi supporting actors simply brilliant. Movie has many memorable lines Andy: Hope is good thing ,may the best of things.
Kuna moja nayo nilliona ila sijaipata jina yaani mwanzo mwisho kweny mvua tu maji yamejaa kitaa kizima wanazunguka na maboti tu ni kali na ina ngumi pia