Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,883
3,535
Nilivoanzisha mahusiano na wewe nilikupenda Sana. Nilikuona ni mwanamke uliejielewa kumbe ulikua unapretend .

Hivi kweli wewe Ni wa kunivungia kiasi hiki mpaka unaniambia unajiskia kichefuchefu nikikukumbatia! Eti kisa spray yangu inanunikia vibaya! Mbona haikua hivyo mwanzo?.

Hata kiss imekua Kama almasi!!!!

Imekua kila ninachokwambia unajibu "NO" Tena bila maelezo yoyote.

Ni Mara ngapi nakusaidia wewe?.

Saiv unavunga ubabe au kisa unatoka mbeya! Ni vile tu siwezi kuitumia karate yangu kumpiga mwanamke ila ningekufua.

Nimekuandalia tukio litakalokuliza siku nzima make dawa ya mwanamke Ni mwanamke .

Wakuu mnisamehe Sana make ndo nimegundua mwanamke hapendwi.
 
Nikianza na hapa mkuu uliposema

"Wakuu mnisamehe Sana make ndo nimegundua mwanamke hapendwi"

Hivi kweli hiyo sentensi yako ya mwisho umemaanisha au ni hasira tu!

Nakukumbusha tu hata huyo mzazi wako ambae si baba yako nae ni mwanamke, je nae humpendi??
Hawa wanawake wanatokea kutuvuruga sana mpaka tunahisi dunia yote imejazwa na MADEMU tu.
Kumbe kuna mama, shangazi, Dada na wengineo ambao huthubutu wewe km wewe kuwaita mademu.

Mkuu mtimizie huyo Mooren wako yale Mahitaji anayokuomba km ukiyompa zamani.

Pia utambue kibogoyo mvuta ugoro akiwa na pesa bado kwenye mapenzi ataambiwa mate yake yananukia kama chocolate. Tutafute pesa tu mkuu
 
Nimempa kila kitu unachokijua mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe huyo ni sawa na wale ambao hutoa zawadi kwa fundi gereji na akakuvimbia wewe uliyemnunulia gari!

Pole sana mkuu wanawake wapo wengi, achana na visasi.
Tuishi nao kwa akili,tena akili nyingi nyingi.
Kila nikiamua kumpotezea
Anaanza kunisumbua
Sometime nikitoka job namkuta kwangu
Hii inaniumiza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule kasema ni Mmasai, huyu kasema wa kwake ni mnyakyusa. Siku PM zikiwekwa wazi tutakutana na mengi.

Sisi Maparoko tunawaombeeni tu, twendeni tukatafute pesa, ngono tamu ukiwa na pesa!
 
Taratibu Mkuu
Najua Leo Ni Siku Njema Kwako Mambo Mengi Sana Upande Wako Yanakwenda Burdan!!!!

Jitahidi Sana Uepuke Matatizo, Huyo Dada Mwache Aende Zake Usimfanye Lolote Anaweza Kukutia Kwenye Shida!!
Mahusiano Siku Hizi Ni Magumu Sana Kama Kuomba Kazi Vile
 
Asante kwa ushauri mzuri
But kila nikiamua kumpotezea huwa anakuja kwangu kunisumbua
Make huwa ninafuta mpaka mawasiliano yake ili nisimtafute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom