More than serious nahitaji mume wandugu

Dada jena nimeshamwarifu Master detectie nae alikuwa anatafuta chumba mwenye vigezo kaa vyako kabisa.
Itakuwa ni vigelegele na vilegeleg na vificho hapa Jf
 


Tuwasiliane kwa maongezi zaidi naweza kupa huyu wangu ujaribu, ukishindwa unirudishie ukiweza ubaki nae.
 
Chapakazi;1728908]just a question...kwa nini unataka kuolewa kiasi hicho?

Swali: Kwa nini aendelee kusubili wakati mda, nafasi na utayari anao?
 
Dada wanaume wa JF hamna wa kuoa huku..Mtaani,kazini,kanisani kwako hujaona mtu aliyekuvutia. Ukisubiri utongozwe siku hizi utasuburi sana jitoe mhanga umvae yule umpendae ambae unaamini atakua mume bora kwako. Just relax,umri sio mkubwa sana. Wakati wa bwana ukifika utampata mume bora
 
under 30 bado wananuka maziwa
 
Usihofu dadangu kuna watu wapo kimya nadhani wanafikiria wazo lako ili wakutafute. Mi naamini Mungu ni wa wote hivyo nafasi utapata ya kupata kipenzi cha nafsi yako. Am 35 years
 
atakuwa alipata na ana watoto wakubwa kabisa since 2011?
 
Uzuri wako ulikuponza ukakataa waoaji kisa hawana mpunga!! Umejirusha na wala bata wenye wake zao, sasa muda umekutupa mkono umetukumbuka, pole na karibu na ukumbuke mchagua nazi hupata koroma. Hongera kwa kukata mshipa wa aibu na kujiweka wazi ksma ya mbuzi!!
 
USPATE SHIDA..
weka picha tuthaminishe...
usije ukawa umekongoroka afu uje kumfia mtu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…