More than serious nahitaji mume wandugu

Nashukuru ila siko tayari kuwa mke wa tatu na ni lazima awe Mkristo.
 
Duuu sio mchezo,naona wengi age ndio ime'wa let down.......fikiria age hapo na ukisema unataka tu mkristo nadhani unafanya vibaya.....
 
utapata tu, kuna mwingine anatafuta mke
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/115428-natafuta-msichana-wa-kuoa.html
 
Mume wa aina gani?

1. Mume wa mchakato(Process) - kupima virusi, kupima tabia, kupima uchumi, kupima kama ligi zinafanana isije ikawa daraja la nne tanzania kwa ligi kuu uingereza, kupima kama mimba inashika, n.k n.k

2. Mume Tukio( Event) pap pap tayari mume

3. Mume yeyote. Bora kuolewa tu mradi awe mkristo.

4. Mume wa kiingereza - Haijalishi jinsia

5. Mume zali la mentali - pengine una pesa kibao ila huna mkuna nazi


ziko sampuli nyingi, nakutakia mafanikio mrs mtarajiwa.
 
Hata mimi niliwahi kuja na ombi hapa la kutafuta mke...... sikufich dada yangu nilipata..... na tayari tumemeshajitia pingu za maisha na Mtoto wa kwanza wa kike (Blanca) tumepata.....na sasa tuko wote huku, mimi nabeba mabox na yeye anamalizia chuo...

so usikate tamaa dada yangu
 

hongera sana
 
hongera sana tena sana ndugu ,umebamba mbaya...waliokuwa wanalalamika watu hawarudishi majibu ndo hayo hapo.
 
Karibu sana na kila la heri ila kina CPU wa mzaha wako wengi so kuwa mvumilivu sana dear
 
Sikukatishi tamaa but 33+ years wanaume wengi washaoa au wana wachumba.try 29 yrs or less
 
karibu sana jukwaani dada Jena......nakuhakikishia hapa JF utapata mume mwema.....ila ujiandae kwa masihara lakini usikate tamaa....wapo walio single na wana heshima zao....nakutakia kila la kheri na Mungu akubariki katika jambo hili

preta yani naishuhudia avater yako kwa mara ya kwanza!!
 
 
mi nna vigezo vyote elim ya kutosha, kazi nzuri vitega uchumi bwerere, tatizo sasa kweny umri!!!!!!!!!!!!!!!!
kwani tatizo lipo wap ukiolewa na under30? hazalishi? au hafai kua mume? mbona mariah carey kaolewa na bwana mdogo nick na kamtia mimba mapacha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…