More donors pull out of Tanzania budget support deal

More donors pull out of Tanzania budget support deal

Ni rahisi kuandika kuichafua serikali. Akitakiwa alete huo ushahidi kuwa donors wanasema hivyo anao?
Uandishi huu utawagharimu wengi. Wakianza kuulizwa walete vielelezo wanaanza kuhaha. Kama umewahi kudeal na diplomats utajua ugumu wa kuwanukuu maana watakuruka tuu.
unaambiwa hata zile DAWA MSETO ZA MALARIA ZENYE NEMBO YA JANI ( zilizoletwa kwa hisani ya watu wa marekani ) hakuna tena , wameondoka nazo ! hakika ufisadi umeiletea aibu sana nchi hii .
 
Ndio maana Kafulila anasema ngoma bado mbichi. Kigugumizi cha serikali kuwataja waliokwapua za stanbic kinathibitisha kuwa wahusika ndio wasimamizi wakuu wa serikali kwa hiyo hakuna wa kuwashughulikia. Hii nongwa ni mbaya sana ikiendelea kuendeshwa kisela namna hii
 
Let these BS DPs continue holding the funds as we see little benefit
 
Mbona hawa wafadhili wanatumia njia ndefu sana, ambayo kimsingi hasa itawaathiri watu wa kipato cha chini kabla ya hao mafisadi!?

Kwanini wasiwanyime VIZA Jakaya pamoja na baraza lake lote la mawaziri kwenda nchi zao? Waone kama issue ya escrow haijamalizwa fasta!
 
Ndio maana Kafulila anasema ngoma bado mbichi. Kigugumizi cha serikali kuwataja waliokwapua za stanbic kinathibitisha kuwa wahusika ndio wasimamizi wakuu wa serikali kwa hiyo hakuna wa kuwashughulikia. Hii nongwa ni mbaya sana ikiendelea kuendeshwa kisela namna hii

Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kubadili watawala ili aje mtawala mpya tofauti na huyu ili aweke mambo hadharani
 
Back
Top Bottom