Morco marketing

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Jamani mwenye habari zozote za ziada juu ya jina hilo hapo juu...nilizonazo mimi ni kwamba ni kiwanda feki kinachotengeneza juice toka Morogoro, kikipatikana njia ya Mazimbu, karibu na shule ya msingi Shubila...TFDA au TBS tunaomba msaada hapa..
 
Kuna kiwanda kipya kimefunguliwa Morogoro kingolwira kinatengezea Juice nadhani brand kama 6 tofauti. Nimekaa morogoro kidogo lakini sifahamu maeneo ya mzimbu kama kuna kiwanda chochote tena cha juice.

Nafahamu pia kuna vijana waliomaliza SUA (nadhani food science)walijiunga na kuanzisha ka mini processing plant ila nadhani ni maziwa na wapo maeneo ya msamvu ama karibu na kwenye magorofa ya BALABOU(hostel za SUA kwa sasa).
 
Back
Top Bottom