Moon ala kiapo cha kuongoza Korea kusini

Moon ala kiapo cha kuongoza Korea kusini

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,426
Rais mpya wa Korea kusini Moon Jae-in amekula kiapo cha kuiongoza nchi hiyo kufuatia ushindi alioupata katika uchaguzi wa jana Jumanne.

Bwana Moon ambaye ni wakili na mtetezi wa haki za binadamu aliye ahidi kuimarisha uhusiano mzuri na Pyongyang, amesema atafanya kazi ili kudumisha amani.

Amesema anajiandaa kuitembelea Marekani, China na hata Pyongyang iwapo hali itakuwa sawa.

Leo pia anatarajiwa kuitangaza timu yake ya uongozi serikalini.
 
Yeye alisema anataka suluhu na N korea kwa njia ya kidiplomasia na siyo vita kama alivyotaka Mvaa Mawigi wa Marekani
 
Back
Top Bottom