Monthly Mombasa port revenue hits Ksh45Bn.

Hii ni report toka kra sio port authority?

Mkuu ni hivi:

KRA wanakusanya pesa ya kodi kwa bidhaa huduma zinazopita bandarini, wakati KPA wanakusanya pesa ya huduma zao za kibandari (wao pia hulipa kodi KRA).

Hivyo basi, makusanyo ya kodi kwa bidhaa na huduma zinazopita bandarini ni tofauti na mapato ya huduma za kibandari.

Nimeweka linki ya annual reports za mapato ya kibandari (operating revenue) za KPA na kulinganisha na annual revunue za TPA nikasema tofauti inazidi kupungua.

However, OP ameshindwa kubainisha hivyo vitu viwili nilivotaja hapo juu, hio video ni makusanyo ya kodi kwa bidhaa na huduma zinazopita bandarini, makusanyo hayo hufanywa na KRA...
 
Asante upo vyema umeeleweka
 
Back
Top Bottom