Kafa lini na kakutwa na nini?Tayari watu wameanza kupandisha Majini!!! Baada ya kusikia Majitaka Khamenei kafa kibudu!!! Patamu hapo!!!
😂, Fanya hivyo mkuu, nataka nipone.Ngoja tukutafutie Mchungaji ayakemee hayo majini yakutoke ili tuweze kuongea vizuri!!
Kusema uongo wa kitoto kunakusaidia nini?Katika Mashhad Ardehal, mnara mpya ulizinduliwa kwa heshimu ya watu mashuhuri wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran walioangamizwa na Majeshi ya Israel miongoni mwao ni Gaidi Mojitaka Khamenei amejumuishwa katika orodha ya Magaidi walioangamizwa na Majeshi ya Israel.
Iran imekuwa ikificha sana taarifa za magaidi walioangamizwa toka vita hii ianze lakini pamoja na kubana sana hatimaye wameachia wameweka wazi kwenye uzinduzi wa mnara huo wa mashujaa.
Hii inaonyesha wazi huko Iran hakuna kiongozi ndiyo maana kila mtu huko ni msemaji maana wanajua wazi Majitaka Khamenei alisharambishwa mchanga siku nyingi!!
Najua Wafuga Midevu na Majini hampendi kabisa habari hizi niziseme na kuna wengine watajifanya hawaioni hii post na wengine watadai hawana bundle na kuna wengine majini yatawapanda na wataanza kunishushia matusi tu!!
Katika Mashhad Ardehal, mnara mpya ulizinduliwa kwa heshimu ya watu mashuhuri wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran walioangamizwa na Majeshi ya Israel miongoni mwao ni Gaidi Mojitaka Khamenei amejumuishwa katika orodha ya Magaidi walioangamizwa na Majeshi ya Israel.
Iran imekuwa ikificha sana taarifa za magaidi walioangamizwa toka vita hii ianze lakini pamoja na kubana sana hatimaye wameachia wameweka wazi kwenye uzinduzi wa mnara huo wa mashujaa.
Hii inaonyesha wazi huko Iran hakuna kiongozi ndiyo maana kila mtu huko ni msemaji maana wanajua wazi Majitaka Khamenei alisharambishwa mchanga siku nyingi!!
Najua Wafuga Midevu na Majini hampendi kabisa habari hizi niziseme na kuna wengine watajifanya hawaioni hii post na wengine watadai hawana bundle na kuna wengine majini yatawapanda na wataanza kunishushia matusi tu!!
Hivi hauna habari synagogue la wayahudi pale Tehran lilipigwa bomu? Una maoni gani kwa wayahudi wenzako waliouwawa hapo Tehran?Daaaah.... Sisi Makobaz tunaisha tu. Tunauliwa kama kuku na hao mazayuni.... Tulikuwa tunatamba sana. Jamaa wanakata vichwa tu.... Iran imekuwa kama Temeke Wailes... Kila mtu msela hakuna kiongozi.
Kumbe bango? Nikajua una taarifa za uhakika. We jamaa una matatizo kichwani? Kwahiyo ukiona bango limeandikwa Yesu anarudi 12 December basi ndio ushahidi?Si unajifanya wewe Mwarabu-koko OG soma hilo Bangor walilolizindua utapata majibu
Hilo bango ni kwa faida yako maana limejieleza labda tu ukitaka nikupe link ujifurahishe kidogo kifo cha Majitaka KhameneiKumbe bango? Nikajua una taarifa za uhakika. We jamaa una matatizo kichwani? Kwahiyo ukiona bango limeandikwa Yesu anarudi 12 December basi ndio ushahidi?
Una matatizo, haiwezekani fake news zote zitokee kwako
Punguza utoto, taarifa rasmi za kifo hutolewa kwa kuangalia mabango ya mtaani?Hilo bango ni kwa faida yako maana limejieleza labda tu ukitaka nikupe link ujifurahishe kidogo kifo cha Majitaka Khamenei