Kwangu mimi wimbo huu unaweza kuchezwa popote Africa, nilipousikia mara ya kwanza (last weekend nikiwa Botwana) sikujua kama ni bongo flava. Kama hujawahi kuusikia basi pata nafasi hiyo kwenye link hapo chini, ni wimbo mzuri kwa kweli.
Hiyo ngoma ni kali sana aisee, hao vijana walitulia kweli kweli, asante kwa link nilikuwa naitafuta sana hii kitu, naisikia sana redioni nadhani ni brand new hit song
Hiyo ngoma ni kali sana aisee, hao vijana walitulia kweli kweli, asante kwa link nilikuwa naitafuta sana hii kitu, naisikia sana redioni nadhani ni brand new hit song