Money can't buy love

Afu unajua ni rahisi mtu kushobokea kitu kwa kuwa hana...Yani wadada wanadhani pesa ni everything...Wakishatia mguu kwenye ndoa wanaanza kujuta...ningejua wala nisingemuacha John wangu...ili libaba sex zero...sawa navaa vitu vya bei mbaya...so what! Bora ningekuwa na maisha ya kawaida lakini na mpenzi wangu si hili jibaba. Sijuhi watu wananicheka...?

Hapo ndio unakuta anatumia ela ya kibabu kununua vijana wampe kitu roho inataka.

Kuna binti jirani yetu aliolewa akiwa form three na tajiri mmoja...majirani tulibaki midomo wazi...binti alimliza boyfriend wake maana alikuwa ni mzuri kweli kweli...Jamaa alomuoa alikuwa tajiri wa kuuza mitumba ila alikuwa na pesa kweli na ana wanawake zaidi ya 4.

Unajua familia ya binti ndiyo iliyompa pressure huyo msichana aolewe...na alikuwa mdogo nae akadanganyika. Alikaa kwenye ndoa less than 5 years...sasa hivi ana tanga tanga. Mwanaume mwenyewe alikuwa aged na alikuwa anatumia magongo na alikuwa anawapiga wake zake kwa hayo magongo. Na wake zake wote walikuwa ni age moja..mabinti wadogo. Si unajua kuna mkoa mtoto wa kike mali...basi huyo dada in short aliuzwa.

Pesa imekuwa factor kubwa sana sasa hivi kwenye mapenzi,Utasikia
Awe handsome,
Awe ana angalau diploma,
Awe na pesa bibie yaani hapo mi naolewa.
 
Wanigeria walivyo kiutamaduni 'kuwa na pesa wewe ndo mtu'

hawaheshimu kabisa malofa

tofauti na sisi WaTZ ambapo 'masikini jeuri' wanafagiliwa sanaa
 
afu nikikushika ntakupiga. :( :(



basi labda nyimbi mbili tofauti
mimi nilikuwa nau refer ule wa Blackstreet 'buy me love'

original ni the beatles[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom