Itategemea........kama una mvuto naweza kukuvumilia utafute.......
Ntamvumilia. Mapenzi kwanza
hivi mapenzi bila hela yanadumu
hivi mapenzi bila hela yanadumu
hahaha nlijua utamtumia kopi zubedayo_mchuzi
Hah hah hah hah!!! Mpango ni yeye kuuza nyumba ya urithi kule Pangani halafu tuhamie Kiding'a
Unakatika katika, sikupati vizuri!
Wallet mnazo lakini Hasi !
Za kwetu Chanya.
Haluaaaaaa na tendeeeyeah jaman Kapolondo
Haluaaaaaa na tendeee